Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20240106-175643~2.png
 
Huyu Elon Musk huyu mh!

View attachment 2863363

Unaowaona hapo chini sio wanawake halisi ni ROBOT. Wanawake hao ni wanawake waliotengenezwa na kampuni inayomilikiwa na bilionea ELON MUSK.

Kampuni yake ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha bidhaa hiyo ili iingie sokoni. Bidhaa hiyo hujulikana kwa jina la WIFE ROBOT; na inatarajiwa kukamilika rasmi mnamo January 2024 ambapo wanawake hao ambao ni ROBOT watapatikana madukani. Wataingia Afrika ifikapo Juni 2024.

Taarifa kutoka kwenye kampuni hiyo inasema mtu atakayenunua ROBOT hiyo ili awe mke wake atakuwa ameokoa matumizi ya pesa kwa kiasi kikubwa. ROBOTI hiyo ina ladha kama ya mwanamke halisi, japo MKE ROBOT anatumia betri la kuchajiwa ambapo betri inachajiwa kwa siku tatu mfululizo. Katika siku hizo mwanaume hataweza kukutana kimwili na mke wake huyo ROBOTI.

Kama ilivyo kwa wanawake halisi kwa kufuata mzunguko wa hedhi betri zitachajiwa kwa siku tatu pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja. Ngono na MKE ROBOTI itahitaji uwe na neno la SIRI maalumu; neno ambalo ndilo litamfanya yeye akutambue kuwa wewe ndio mumewe yaani Patten au alama ya KIDOLE ili akutambue. Vinginevyo hutaweza kufanya nae mapenzi badala yake atabana miguu yake kwani atahisi kuwa unataka kumbaka wakati yeye ni mke wa mtu. Na ukilazimisha atapiga kelele ya kuita majirani na kusema unambaka. ROBOTI hizo zina uwezo wa kukata mauno zaidi ya mwanamke wa kawaida la kini pia nanilii yake ni tamu balaa kwa mujibu wa ELON MUSK.

Hata wewe mwenye mke unaweza kununua ROBOTI hiyo na kuiweka ndani mwako kama mke wako, ukafanya nayo mapenzi kama unavyofanya na mke wako halisi; na ukapata ladha na utamu zaidi ya unaoupata kwa mke wako...
Ni ushetani.
Huku ni kumuasi Mungu.
Watu wataacha ndoa halisi ili kuingia kwenye kupiga NYETO na robot ili kukwepa majukumu yao ya msingi
 
Back
Top Bottom