Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Trash 🚮🚮🚮
Msiambiwe ukweli jamani 😬😂😂
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣.. mnapenda Sana ugali
Sasa kuna chakula gani hapa duniani zaidi ya ugali?Hahahaha 🤣🤣🤣🤣.. mnapenda Sana ugali
Nilikua kwa ndugu zangu huko likizo moja, sikuona hata wakipika tambi, au ndizi au viazi au chips.. Kila siku ugali na wali tu😒😒, Tena Ugali ni mgumu jamaniSasa kuna chakula gani hapa duniani zaidi ya ugali?
Burger?
Pizza?
Hapo mke mkubwa anatamani atumie mwiko wa chuma 😂Katika utamaduni huu, ikiwa una nia ya kuoa mke wa pili, mke wa kwanza na mke wa pili unaetaka kumuoa, watatwanga mahindi kwenye kifua chako.. Ukistahimili uchungu huo, utaoa mke wa pili.. Nafikiria mke wa Kwanza nguvu atakazotumiaView attachment 2864689
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mke mkubwa anatamani atumie mwiko wa chuma [emoji23]