Ukizidisha mara 2 tu non stop ushajichanganyaKuna watu wanapiga hata mara 4 utafikiri una figo yake. Hata ukija kupokea unakuta hana la maana 😬😬😬
Shule za siku hizi bwana, jana tu nimetoka kununua rim kwa mwanafunzi wa darasa la awali!
Sijui nitesti zali 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Ukizidisha mara 2 tu non stop ushajichanganya
Nitakupigia baada ya masaa 6