Mende analiwa vizuri na kila aina ya ndege, lakini ndege jamii ya kuku anapenda sana mende.Ningependa kujua sababu ya mende. I hate them! Sijui hata wana faida gani yaani. Mbu angalau wanaeneza magonjwa na wanasaidia kupunguza population. Mende sasa. Hakuna hata ndege ambaye anamla. Pure trash [emoji706]
Unatumia kinywaji gani mrembo MidekoMtihani sana Namshukuru Mungu Kutokuwa na tamaa na hayo madude.
Asee🙄
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa namwambia vile nimekolea kwake akateki iti foo grantedi....[emoji57][emoji57][emoji57]
🤣Mchaga mlokoleView attachment 2852753
AiseeGlass imezingua!View attachment 2852767
Aisee