Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Fundi Xtrail Mbeya. Jinsi nilivyomsave Pendo wangu. Nina gari la Xtrail so hata akituma au kupiga Simu sina wasiwasi wanajua ni fundi wa gari aliyeko Mbeya Mjini. Nikienda Mbeya toka hapa Home Rungwe namwambia, fundi amenipigia niende akalitengeneze gari.
Na kwako pia...Heri ya sikukuuu ya xmas na mwaka mpya 2024.