Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Miaka 6 body count 41. Siyo mbaya. Makofi kwa Angella 👏👏👏👏
Amen babu[emoji1317]Hata sikujua mjukuu. Ni kweli leo kumbe nimetimiza miaka 9 ndani ya JF hii ya Melo. Ni mengi nimejifunza humu na kusema kweli JF hii imenibadilisha sana. Zaidi ya yote nimeweza kupata connections kadhaa za muhimu pamoja na kujenga urafiki wa kweli na hata undugu kama wewe hapo mjukuu. Asante sana kwa wema wako jamani japo hatujuani. U binti mdogo lakini maisha unayajua na sina wasiwasi kwamba utafika mbali sana. Ubarikiwe sana mjukuu na nakuombea kila la heri katika maisha yako. Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji3590][emoji3590][emoji3590]