Miaka 6 imepita. Namba sijaifuta na Voda hawajaigawa. Huwa naipiga tu nikijisikia...huwa haijibiwi!😭
Niliahidi mahari nitatoa milioni 10. Mpaka leo kuna mzozo!
Pole sana....Miaka 6 imepita. Namba sijaifuta na Voda hawajaigawa. Huwa naipiga tu nikijisikia...huwa haijibiwi!😭