Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

6de60328f51cfe9c8e709e603b59381d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheri ya kutimiza miaka kadhaa ndani ya jf mzee Shimba ya Buyenze,

Mungu akulinde/akuzidishie mibaraka mzee wa busara,

Naamini kila jambo lina sababu,basi jf imekuwa sababu ya kujuana kwa mwandiko na tukaishi kama family,

Mungu atulinde sote atuepushe na fitna tuendelee kufurahi pamoja humu ndani,,,,atujaalie Afya njema maana Afya njema ni mtaji,,,,

Nawapenda wote humu ndani,


All the best every one❤
Hata sikujua mjukuu. Ni kweli leo kumbe nimetimiza miaka 9 ndani ya JF hii ya Melo. Ni mengi nimejifunza humu na kusema kweli JF hii imenibadilisha sana. Zaidi ya yote nimeweza kupata connections kadhaa za muhimu pamoja na kujenga urafiki wa kweli na hata undugu kama wewe hapo mjukuu. Asante sana kwa wema wako jamani japo hatujuani. U binti mdogo lakini maisha unayajua na sina wasiwasi kwamba utafika mbali sana. Ubarikiwe sana mjukuu na nakuombea kila la heri katika maisha yako. Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom