Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1623726533198.jpg
 
Kwa mujibu wa @sportsarena_tz Medeama wakiwa ugenini ni maharage ya Mbeya. Yani moto kidogo yashalainika. Tangu 2016 hawajawahi kushinda mechi yoyote ugenini. Pigia mstari tangu 2016. Yani miaka 7 watu wanajipigia tu . Hawa hata ukiwapa Namungo wanapiga kama ngoma, ili mradi mechi ichezwe ugenini. Medeama ni "chips funga" wa klabu bingwa. Kila boya anapiga View attachment 2848529

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20231220-WA0061.jpg
 
Back
Top Bottom