Kwa mujibu wa @sportsarena_tz Medeama wakiwa ugenini ni maharage ya Mbeya. Yani moto kidogo yashalainika. Tangu 2016 hawajawahi kushinda mechi yoyote ugenini. Pigia mstari tangu 2016. Yani miaka 7 watu wanajipigia tu [emoji1787][emoji1787]. Hawa hata ukiwapa Namungo wanapiga kama ngoma, ili mradi mechi ichezwe ugenini. Medeama ni "chips funga" wa klabu bingwa. Kila boya anapiga [emoji1787][emoji1787]View attachment 2848529
Sent using Jamii Forums mobile app