Rushwa ina gharama zakePolisi wa usalama barabarani akiwa amejificha juu ya daraja la Treni, hapo anavizia madereva Wanao tembea Kwa mwendo kazi, Treni ikipita hapo ni parapanda.View attachment 2846483
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅Aseee
Jamaa ana ndoto mbaya!