Polisi wa usalama barabarani akiwa amejificha juu ya daraja la Treni, hapo anavizia madereva Wanao tembea Kwa mwendo kazi, Treni ikipita hapo ni parapanda.
Jamani poleee, mpo vizuri bwana ndio maana mawe yanarushwa kwenu daily, ujue kwa nini! Mna kitu cha ziada kuliko wengine.
Hapa ni kuchangamsha mada tu.
I love you.