myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Siwezi jirani,
Tuachieni wenyewe..
Ugenini hapo.....
Ana hamu na wewe
Kumbe 🤣🤣🤣Ana hamu na wewe
Au
Hana hamu na wewe?
Wahaya na hili tatizo la h na irabu ni hatari! H inapotakiwa hawaiweki (akuna ivyo). Isipotakiwa wanaiweka (husiniambie). Vurugu tupu yaani!