Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,255
Katika utafiti usio rasmi nimegundua hivi vitu viwili pesa na wanawake au simply mwanamke vina majina mengi sana. Lakini bado sijagundua kipi kina zidi kingine kwa idadi ya majina hayo. Na unavyodhani kipi kinazidi?
Baadhi ya majina mengine ya pesa ni:-
Mkwanja
Mshiko
Mavumba
Chapaa
Mapene
Mawe
Na baadhi ya majina ya wanawake ni:-
Manzi
Kisu
Shori
Totoz
Hebu wenzangu tuongezee majina hapa kwa anayefahamu tupate conclusion.
Baadhi ya majina mengine ya pesa ni:-
Mkwanja
Mshiko
Mavumba
Chapaa
Mapene
Mawe
Na baadhi ya majina ya wanawake ni:-
Manzi
Kisu
Shori
Totoz
Hebu wenzangu tuongezee majina hapa kwa anayefahamu tupate conclusion.