Daaah, nimecheka sana mkuu.Watu sikuhizi mnambinu nyingi zakuomba namba za waganga...😂😅
Mjali, mhudumie, msikilize na mkojoWakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana?
Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?

Kama hupendwi hupendwi tuuh utapoteza mda wakoWakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana?
Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
Mchawi pesa tu.Wakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana?
Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
no 1,2,3,4,5,etc uwe na feza/kipato cha uhakika, vingine ni ziada na ni vya kupitaWakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana?
Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
Hehehe umeandia au umeandikiwa...