mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
kama wewe ni me utakuwa wa ajabu sana, mke akulishe, akuvishe na kila kitu akufanyie, pengine hata peteol ya kupuyangia anakupa, unashindwa kumsaidia hata kumtuliza mtoto wenu huku mama akifanya shughuli nyingine za ndani, eti kisa kuna wengine wanatafuta kuolewa hawapati wa kuwaoa. Wanaume tuache tabia chafu kama hizi unazojaribu kuonesha hapa. Lakini kama wewe ni ke, bado hujitambui hata kidogobest tatizo kuu ni kuwa jamaa hana kazi...awa wanandoa wana mtoto wa miaka mitano ila baba hakuwa mzembe ila leo kuna mtoto ana miezi9 , hana kazi ndo misala imeanza...ukichanganya kutokuwa na kazi, stress plus kutotenda majukumu ya kuilisha familia ndo basi kila lawama itamzukia baba...kuna siku akirudi msitarini hautakaa uyasikie aya!! ujue kuna wadada mjini wana nyuma nzuri na zenye insurance, wana pesa na magari yenye bei na isurance , yaani yapo mpaka waamue kudispose....ila tu wanshinda kwa sangoma kusaka wachumba, wengine wanalalwa ili dawa iwaingie ili wapate wachumba maskini wanatapeliwa...wengine mna ndoa mnashangaa eti ooh mume wangu---- ajabu!!
kama wewe ni me utakuwa wa ajabu sana, mke akulishe, akuvishe na kila kitu akufanyie, pengine hata peteol ya kupuyangia anakupa, unashindwa kumsaidia hata kumtuliza mtoto wenu huku mama akifanya shughuli nyingine za ndani, eti kisa kuna wengine wanatafuta kuolewa hawapati wa kuwaoa. Wanaume tuache tabia chafu kama hizi unazojaribu kuonesha hapa. Lakini kama wewe ni ke, bado hujitambui hata kidogo
Tena wanaume wa hivyo wapo humu humu mmu....
Kiatu kinavuliwa barazani
Soksi inatolewa sebuleni
Shati linatupwa koridoni
Suruali chumbani
Singlend bafuni
Ktu ambacho hujatuambia ni kuwa kai anaanya kazi alikuwaje. Inawezekana malezi yamechangia lkini inawezekna pia mumeo amethirika kisaikolojia. Mfumo wetu wa elimu utuelekeza kufanya kazi a kuajiriawa. Inaweza uwa anidsha, labda kazi iliisha ghafla bila kutarajia, inawezeana alitegemea kupata kazi mapema muda unavypia anazidi kuwa frustrated. Usimshangae msupport, msaidie kuafuta kazi kwa kua matangazo ya kazi zinzoendeana na sifa zake. ikishindiana msaidie aanzishe biashara.Hivi Ladies kuolewa maana yake ni nini?
Mimi kuna vijambo vinanichosha mpaka imekuwa kero na kuona kama ndoa ni ngumu. Ni takribani mwaka mmoja na nusu sasa mme wangu kazi iliisha yupo nyumbani huku akiangaika kutafuta kazi sehemu zingine .
Hiyo sio big deal mie nafanya kazi thanks God kamshahara kangu kanasaidia kucover matatizo yote ya nyumbani ingawa sio kama tukiwa wawili. Kinachonichosha sana ni ratiba ya mme wangu.
Mimi nina watoto wawili wa kiume mmoja 5 years na mwingine 9 month. Mme hata mtoto akiwa analia eti yeye hawezi kumbembeleza anamwangalia tu ukimuuliza anasema yeye amfanyeje wakati hana maziwa ya kumnyonyosha, mimi hapa usiku silali mtoto anasumbua asubuhi kuamkia kazini, jioni kufika kumwangalia mtoto na kuandaa maakuli ya familia.
Nina binti anaenisaidia nikiwa kazini. Lakini mme anaamka saa nne kitanda hagusi kutandika mpaka nitoke kazini nakikuta hivyo hata net haijatolewa kutandika ndio basi tena pia hata akivua nguo za ndani atarundika hapo nije kufua mie.
Anapiga mswaki na kukaa kwenye kochi kusubiri atengenezewe chai na apelekewe, atabadilisha chanel mpaka lunch atakula atabadilisha Chanel zake baadae anawasha gari kwenda kutembea. Saa mbili au saa tatu atarudi atakula atakamata tena remote mpaka saa sita ataingia kulala na ukali sasa kitu kidogo tu manung'uniko.
Hivi jamani wanaume mkioa kazi yenu huwa inakuwa kutoa matumizi ,kula na kulala tu?
Hakuna mnachoweza kusaidia?
Ladies hivi wote mko kwenye hali hii??
Dina ukisema habari kamili hiyo ya net ni siyo sababu yenyewe hasa inayomsumbua dada huyu bali sababu yenyewe ni kuwa Mama akiwa kazini jamaa kakaa tu home na akirudi toka kutafuta rizki inayofanya ndiyo wale jamaa bado hajafanya kazi yyt ile home ikiwemo kumtunza mtoto!Mimi naona kama mkuu unaenda mbali sana, hebu rudi tu nyuma kidogo, kutoa neti kitandani ukaitupia juu inajalisha kama una kazi au huna? Mbona mimi naona kama nikitu kidogo sana ambacho wala hakiwezi kuudhalilisha 'uanaume'?
uvivu uko kwenye damu
Hivi Ladies kuolewa maana yake ni nini?
Mimi kuna vijambo vinanichosha mpaka imekuwa kero na kuona kama ndoa ni ngumu. Ni takribani mwaka mmoja na nusu sasa mme wangu kazi iliisha yupo nyumbani huku akiangaika kutafuta kazi sehemu zingine .
Hiyo sio big deal mie nafanya kazi thanks God kamshahara kangu kanasaidia kucover matatizo yote ya nyumbani ingawa sio kama tukiwa wawili. Kinachonichosha sana ni ratiba ya mme wangu.
Mimi nina watoto wawili wa kiume mmoja 5 years na mwingine 9 month. Mme hata mtoto akiwa analia eti yeye hawezi kumbembeleza anamwangalia tu ukimuuliza anasema yeye amfanyeje wakati hana maziwa ya kumnyonyosha, mimi hapa usiku silali mtoto anasumbua asubuhi kuamkia kazini, jioni kufika kumwangalia mtoto na kuandaa maakuli ya familia.
Nina binti anaenisaidia nikiwa kazini. Lakini mme anaamka saa nne kitanda hagusi kutandika mpaka nitoke kazini nakikuta hivyo hata net haijatolewa kutandika ndio basi tena pia hata akivua nguo za ndani atarundika hapo nije kufua mie.
Anapiga mswaki na kukaa kwenye kochi kusubiri atengenezewe chai na apelekewe, atabadilisha chanel mpaka lunch atakula atabadilisha Chanel zake baadae anawasha gari kwenda kutembea. Saa mbili au saa tatu atarudi atakula atakamata tena remote mpaka saa sita ataingia kulala na ukali sasa kitu kidogo tu manung'uniko.
Hivi jamani wanaume mkioa kazi yenu huwa inakuwa kutoa matumizi ,kula na kulala tu?
Hakuna mnachoweza kusaidia?
Ladies hivi wote mko kwenye hali hii??
Nimegundua jambo moja.
Mwanamke anapokuwa hana kazi, ni mara chache sana kusikia mwanaume analalamika.
Lakini mwanaume anapopigika ni lamza utasikia mwanamke analalamika.
Hapo kwenye red ni dalili za mwanamke kumchoka mume wake kisa hana kipato. Lazima ujichunguze wewe kwanza. Hizo nguo zamani ulikuwa hufui? chakula ulikuwa hupiki? mtoto ulikuwa hubembelezi? Nahisi pia umeanza kuchepuka ndo maana unamdharau mumeo kisa kipato.
Last week nilikuwa naosha Vyombo ,akaniita mama F naomba unitengenezee coffee akiwa ameshika remote anaangalia TV
Nikamwambia naosha vyombo my dear ila kila kitu kipo mezani please nisaidie kutengeneza wala hakunyanyua mguu anasubiri nikatengeneze ,na hapo mtoto nimeweka mgongoni wangu alikuwa mgonjwa
Nikatengeneza kikombe chake nikampa akasema asante basi
nature nature nature anaplay part yake hapo hana kazi yuko hivo try to imagine akipata kazi itakuaje??????? na hayo makucha yote ukute mwanzo aliyaficha... pole sana dadangu itabidi uvumilie tu....