Muuzaji ana sh.100 yangu na nimempa pia chungwa langu lenye thamani ya sh.100 jumla sh.200.
Nashukuru umenielewa!umempa 100 kakupa chungwa la 100 ukalimrudishia tena that means hujanunua kitu tena hapo so bado atakua na 100 yako na unastahili kitu cha 100 na si embe la 200....................................sorry kama cjakuelewa
Ni simple tu, umenunua chungwa lenye thamani ya Tshs 100, ukarirudisha kwa muuzaji inabidi muuzaji akurudishie hiyo Tshs 100 na ukitaka embe itabidi uongeze Tshs 100 na si vinginevyo. Ila siku nyingine usilete maswali mtori humu JF kama kuwauliza hivi mji mkuu wa Burundi ni upi? Halafu mwenyewe unajiona umetega.Chungwa linauzwa sh.100 na Embe linauzwa sh.200.Nimenunua chungwa kwa sh.100.Mkononi mwangu nina chungwa lenye thamani ya sh.100,muuzaji nimemkabidhi sh.100 yangu.Nikimpa chungwa,atakuwa na sh.100 yangu niliyompa mwanzo pamoja na chungwa langu ambavyo thamani yake jumla ni sh.200.Je ninastahili kupewa embe lenye thamani ya sh.200?
Poa nisamehe mkuu,hamna shida bcoz database yangu ina mawe mengi tu,sema huwa ninahofu kuyaleta hapa bcoz thread itapata 0 replies.Ni simple tu, umenunua chungwa lenye thamani ya Tshs 100, ukarirudisha kwa muuzaji inabidi muuzaji akurudishie hiyo Tshs 100 na ukitaka embe itabidi uongeze Tshs 100 na si vinginevyo. Ila siku nyingine usilete maswali mtori humu JF kama kuwauliza hivi mji mkuu wa Burundi ni upi? Halafu mwenyewe unajiona umetega.
Poa nisamehe mkuu,hamna shida bcoz database yangu ina mawe mengi tu,sema huwa ninahofu kuyaleta hapa bcoz thread itapata 0 replies.
kaka sikuoni umebanwachungwa lako limeoza, thamani yake ni sh. 0/=.
Huwezi kupata embe, hebu jaribu kupiga mzinga kwa wanunuzi wanaokuja kununu bidhaa nyingine ili waku boost upate embe, ei kei bichwa lako