Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

Bora aitwe hata Nyerere, sio wapewe majina hawa wahuni wanaotuambia tuhamie Burundi na kusakizia watu kesi za ugaidi.
 
Kuna haja hata ya kuwe na jina la mtu? Si waweke jina la eneo tu.
 
Nyerere primary and secondary!

Mi nazani tatizo ni katiba mpya ....ili iwape watu zaidi kupendekeza jina mfano, daraja la nyerere kurasini lingetosha kuitwa KIGAMBONI BRIDGE,
AU TAZARA Flyover na siyo mfugale, uwanja wa taifa ungebaki kuwa national stadium na siyo mkapa ambaye hata hakuwahi kucheza mpira!

Aisee 😀

Kwahyo hata majina ya vitu ni mpaka katiba mpya!??

Itafika hatua sasa hata kushindwa kumkuna mkeo utasema shida ni kutokuwa na katiba mpya 😀😀
 
Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology (MJNUAT)
 
Back
Top Bottom