englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Kama sio Leyland CD!!!!!!
Mlimani wanaume na wanawake vijana mnashuka maana haliwezi panda na mzigo mzito
Hahaha halafu kufanya gear shifting lazima dereva upate msaada wa tandiboi (enzi hizo neno kondakta halitumiki)...maana gear za hii makitu ni ndefu halafu inakwama kwama ku-shift...
hilo gari ndo unakuta abiria wamebeba hadi kuku,bata...
mbembeni wana mahindi ya kuchoma na maembe