vitu hadimu

vitu hadimu

1229885_10201136260381390_177642890_n.jpg


hili sio la kule kwenu kondoa au?
 
kuna basi kama hilo lilikuwa linatoka songea kwenda tunduru hadi masasi.
 
safi sana mkuu, kwa kitu cha kutulia kilichonikumbusha mbali enzi za DMT, KAMATA, MUSOMA BUS, UNITED BUS, TANGANYIKA
 
kaka MARANGU YA SASA imebadilika sana haswa kwetu huku lLYASONGORO cab zetu huku ni TAX kama unabisha njoo ujionee Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
kaka huku kama vile tupo jirani na Mungu hali ya hewa safi, maji bure kabisa.... tena masafi na salama, umeme mpaka ndani ndani huko hospitali za kutosha sija fanya risearch lakini sidhani kama kuna sehemu inafanana na MARANGU TZ NZIMA
 
nadhani wa boarding wote tumeshapanda hayo madudu hasa enzi za umiseta aisee
 
itakua TARIQ EXPS, au MDULA BUS, au MATIMBULA BUS, au FADHILI SLEEPING COUCH, au KOMOLINYI au labda SPEED LINE. mabasi ya aina hii yamedumu mpaka 2007 kwa njia ya songea, tunduru mpaka masasi. kwa sasa ipo moja WIFI NAE(vuvuzela) ya mtindo huo inafanya safari za DAR to RUANGWA, licha ya uzee wake bado inakula sahani moja na yutong, zhongtong na higer bus




kuna basi kama hilo lilikuwa linatoka songea kwenda tunduru hadi masasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom