Vitu gani vinakuboa au kuudhi JF kutoka kwa members?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,580
Kwanzaa habari za asubuhi ndugu zangu yafuatayo ni mambo ambayo yamekuwa yakiniudhi kutoka kwa member wa jf kupitia thread mbalimbali na michango yao.

1.Ku quote uzi mrefu ukacomment kidogo
2.member mmoja kujirudia kila uzi
3. Udini
4.Ukanda
5.Team kiba na diamond mnaboa Sana
6.Ushabiki wa vyama
7.Thread za wanaume wakilialia juu ya mapenzi
8.......nk

Kwa Leo niishie hapo nyingine ongezeeni kama kuna kitu kinakuboa kutoka kwa member wenzetu
 
Wanaoni bore ni members wenye michango ya mawazo yenye utashi wa ushabiki na mapenzi na si utashi wa akili zao na ufahamu wao
 
Kupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika
 
Kupost au kuchangia nje ya Uzi , asee sipendi utakuta MTU kaomba ushauri, limtu limepiga viroba vyake yani hadi unashangaa huyu ni class seven liva au ni vipi, kwa jinsi atakavyo andika
kama wewe ulivyochangia nje ya mada hapa
 
Sasa umeshasema mwenyewe kuwa unatomboka yanini nijisumbue tena kutaka kujua Jinsia yako wakati imeshajieleza? Usijali Mkuu endelea tu kutomboka hapo ulipo.
Ujue nilikua nakuheshimu ila naona kumbe mtu mwenyewe hajiheshimu.
NOTE: Kutomboka ni neno la Congo lenye maana ya kuongea
 
Back
Top Bottom