Vitu gani kwa wengi ni vya kawaida ila kwako sio vya kawaida

Kucheza Muziki mbele za watu siwezi aisee

Kukesha Bar usiku mzima..mimi kwangu mwisho saa 3 narudi home.

Sijawahi kuhudhuria kwenye Masherehe zaidi labda Makomgamano ya kidini. Sherehe huwa nawakilshwa tu na Wife.

Kunywa kilevi na kuvuta sigara nilijaribu ila zilinikataa (Natapika)

Sipendi kabisa zile shobo za kutaka kujuana sana na kuanza kufatana fatana..ila napenda kusalimu kwa unafiki ili mtu uridhike na kukuchora Maongezi yako kujua wewe ni wa namna gani.

Baada ya miangaiko ya Town napenda ku chill peke yangu kutazama Sun set..maeneo ya utulivu mbali na nyumbani.
 
Upande wangu
Mimi huwa nawashangaa sana Wanaume wenzangu wanaosema huwa wanapiga mechi bao 4,5 Hadi bao 7.

Huwa Nabaki najiuliza,
Hivi Hao wanawake wa kuwapiga hizo bao zote, wenzangu huwa wanawatoaga wapi?

Inamaana Mimi ndo nna bahat mbaya sana maishani huwa sikutani nao au?

Honestly,
Sijawahi kuzidi bao 3,
Na Kupiga bao 3 straight kwangu inaweza tokea kwa mwaka Mara 2 au Mara 3 TU.

Na hizo bao 3
huwa napiga kwa wanawake wachache Sana, hasa hasa wale wa kununua.
Ahaahaha,dah nikajua nipo peke yangu
 
Kujifanyia au kumfanyia mwanangu "Birthday" huu ushubwada siji kuufanya mpaka wananifukia kaburini..... Siku zako za kuishi zinapungua halafu jitu linakusanya watu waje washangilie pamoja nae na linapewa kisu kukata cake kusherehekea siku zake kupungua.... mbaya zaidi hizi sherehe zinafanywa zaidi na wanaojiita wameenda shule na nina uhakika wa 100% wanaofanya huu upuuzi ile furaha anayojifanya anayo pale haitoki moyo na ninaamini hakuna kabisa zile hisia za KUZALIWA ila ni tukio flani tu mtu kaiga ili eti na yeye YA DUNIA yasimpite,yan anataka aonekane na yeye anazunguka sambamba na Dunia😂
Sometimes unalikuta lishkaji kabisa na midevu yake, linatokea kwenye group la whtspp linasema "WAKUU LEO MNI WISH"...pumbaavu kbs😏

Jamani Ule ni upuuzi wenye tani nyingi sana ni vile hatujui tu.
Hata mimi sijawahi kuona maana halisi ya hii kitu.
Ni vile watu kutaka kwenda na dunia iendavyo, hakuna feeling yoyote. Sijui wao huwa wanahisi nini
 
Kua chawa wa boss, boss aniletee dharau(matusi) kisa ameniajiri, story nyingi baada ya salamu, kukaa makundi na washkaji, kupiga story/kuchat na mwana kupitia simu.
 
Sipendi kupigapiga stori
Watu wakipiga stori zao mimi huwa nakuwa zangu bize au nakuwa mpenzi msikilizaji tu

Sipendi kukaa vijiweni muda mrefu
Huwa wanadhani nimesafiri kumbe nipo nikienda kuchukua mahitaji labda nitakaa nusu saa tu tayari naondoka hawanioni kijiweni

Sipendi michezo yoyote ile (except ngumi)
Wakienda mipirani mimi huwa najifungia naangalia mangumi au nilale tu

Sipendi show off
Wengi sana wanachelewa kujua mambo mengi ninayoyajua/ninayoyaweza mfano elimu ya dini niliyonayo kwa kiasi, ujuzi wa kupigana, ujuzi wa ki-TEHAMA na kadhalika.

Sipendi kupost picha (zenye sura za watu) mitandaoni
Japo napenda sana kupiga piga picha kwajili yã kumbukumbu binafsi. Huwa mtu akiposti picha yangu au ya mwanangu, mzazi, ndugu au mke nagombana nae sana mpaka wengi wanadhani sitaki kupigwa picha kumbe sivyo!

Sipendi mitandao ya kijamii
Mpaka hapa nilipo mtandao ninaotumia ni WhatsApp na hii Jamiiforums pekee. Niliwahi kufungua akaunti Facebook notifications zake zinatisha hiyo kelele yake kufika jioni nikiangalia kuna friend request zaidi ya mia mbili kesho yake nikafuta akaunti na kudisable kabisa Facebook kwenye simu

Sipendi masherehe
Sijui harusi maulidi na mambo mengine huwa naenda tu pale inapobidi yaani sipendi sherehe kabisa
 
Namba moja hapana aiseee siwezi kumaliza japo wiki moja tu bila kujichua vinginevyo nito......e kila baada ya siku mbili au tatu.

Sherehe, hafla au shughuli yoyote siwezi kabisa kuhudhulia na sijawahi kufanya sherehe ya aina yoyote ile, siku yangu ya ndoa ukeni walipolazimisha sherehe ikabidi nijifungie ndani niliitwa wakati wa zawadi tu.

Wanaoshabikia mipira naona kama hawako sawa sawa kiakili kwa sababu sijui wanapata nini kwa wao kuwa mashabiki.

Sipendi kutoka toka sana napenda mno kukaa nyumbani tuu na kuangalia movie. Nikitoka Mara nyingi ile hali ya kujichanganya na watu kichwa huniuma sana.

Napenda mno wanawake wanye makalio makubwa yaani nikimuona mwanamke aliyejazia nyuma NACHANGANYIKIWA KABISA.
 
Kucheza Muziki mbele za watu siwezi aisee

Kukesha Bar usiku mzima..mimi kwangu mwisho saa 3 narudi home.

Sijawahi kuhudhuria kwenye Masherehe zaidi labda Makomgamano ya kidini. Sherehe huwa nawakilshwa tu na Wife.

Kunywa kilevi na kuvuta sigara nilijaribu ila zilinikataa (Natapika)

Sipendi kabisa zile shobo za kutaka kujuana sana na kuanza kufatana fatana..ila napenda kusalimu kwa unafiki ili mtu uridhike na kukuchora Maongezi yako kujua wewe ni wa namna gani.

Baada ya miangaiko ya Town napenda ku chill peke yangu kutazama Sun set..maeneo ya utulivu mbali na nyumbani.
Wewe ni mimi kabisa
 
Kumiliki simu mbili kwa wakati mmoja,siwezi.kua nademu mmoja tu nakumuamini huyohuyo siwezi,kushangilia mchezo wa mashindano yamagari hua siwezi.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom