donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kwa huku kwetu ni nadra kufanya mambo haya, kula bata na nguruwe sana sana tutawaza tuchinje tule roast fasta. Ila kwa wenzetu, ni vitu za kawaida.
Vp mkuu??Astakafilulah
Kweli mkuu, mi nguruwe yetu inavyonuka?Wako vizurii sio kila kitu cha kuiga!
Mkuu wamekufurahisha sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wasafi sio kama wa kina Maminja!?Kwa huku kwetu ni nadra kufanya mambo haya, kula bata na nguruwe sana sana tutawaza tuchinje tule roast fasta. Ila kwa wenzetu, ni vitu za kawaida.View attachment 677688View attachment 677689View attachment 677690View attachment 677691View attachment 677692View attachment 677693View attachment 677695View attachment 677696
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Astakafilulah
HahahahHao wenyewe si wamefanana nguruwe hivyo hakuna cha ajabu,ila wangefanya waafrika ingeonekana ni shithole.
Adi mbuzi aone wivuNoah nae anakula bata View attachment 677892
Ushayafuga nn mkuuMamguruwe yanapenda raha sana haya madude.. hapo yamefika
Umejuaje, castle lite barrriiiddmi bwana klabu isiyo rosti kitimoto siendi kabisa yan!!huyo mdudu anaenda sambamba na castle bariiiiiiidi...!!!