MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Kuna malalamiko mengi kuwa watoto wanatendewa vitendo visivyo vizuri ndani ya school buses .
Nasikia kuna kesi tele zinalipotiwa na huwa zinamalizwa juu kwa juu, juu ya ukatili wanaofanyiwa watoto wadogo ndani ya hizi school buses.
Je hii ni kweli wanajamii?
Nilichofikiri haraka ni kwamba hizi school buses
Zinaendeshwa na madereva vijana wa mitaani
Kondactors wao ni wavulana ambao wengi ni mateja wa mitaani
KAMA HIZI TETESI NI KWELI
Ni bora kila shool bus condactor wake akawa mwanamke ili kunusuru maisha ya hawa watoto!
Wazazi mhakikishe mazijua bus na mnawajua watu wanao beba watoto wenu alfajiri saa 11 na kuwarudisha jioni saa 12 hata saa moja
Hujaeleweka meku
kama mtoto wa mwisho kumshusha ni binti au mvulana madereva na konda huwa najisi kwa kuwadanganja watoto na vi chips
Hata watoto wenyewe kwa wenyewe wananajisiana pia....mtoto wa form 6 na wa darasa la 1 wanapand basi moja
Mtoto wa jirani yangu, ni wa kiume kanajisiwa na "anko" bus conductor wa school bus...
Very sad
Mtoto wa jirani yangu, ni wa kiume kanajisiwa na "anko" bus conductor wa school bus...
Very sad
Story ya kutunga hii!
Hata DOWANS mlisema tumetunga
watu wengine bwana mtu atunge story kwa maslahi ya nani humu ndani jamvini jaribu kuwa serious watu wanaongea vitu vinvyotokea mitaanistory ya kutunga hii!
.... kweli huwezi kuamini, mtoto wangu wa kike 6 years aliombwa apeleke sh 5,000 na "uncle" wa school bus. na huu ndio ulikiwa mwisho wa school buses kwangu ....