Vitambulisho vya wamachinga vyaingiza Bilioni 20. Dar yaongoza, RC Makonda apongezwa

Cha ajabu nn sasa....kwani hujui kama population kubwa ya wafanyabiashara+machinga ipo dar??
 
Kitakwimu, baada ya Dar es Salaam inatakiwa ifuatie Mwanza na Arusha; kuna shida somewhere
 
Hivi unafahamu hizi pesa za vitambulisho zinaenda wapi??
Endelea kupongeza tu kama hayawani vile..
Idiot.
 
za ndani kabisa zinanyetisha kuwa robo tatu ya vitambulisho vya Dar vimelipiwa binafsi na Bashite mwenyewe.

huu si ubuyu, ni ukweli!
 
Kwani zoezi lile lililenga kuwashindanisha Wakuu wa mikoa?? Unachosifia ni nn?? Hakuna anaemchukia anamchukia DAB bali watu wanachukia matendo yake maovu/machafu. Kwanza alishalipa kodi aliyokuwa akidaiwa na TRA??
 
NI KOSA KUIFANANISHA DAR NA MIKOA MINGINE KWA UWINGI WA AINA YA BIASHARA NA FURSA ZILIZOKO HUKU HADI WAUZA MADAFU WAMEPEWA VITAMBULISHO HATA HIVYO KWA JINSI DAR ILIVYO NA FURSA NA BIASHARA BADO TUMEFANYA KIWANGO CHA KAWAIDA KULINGANA NA MBWEMBWE TULIZONAZO WATU WA DAR NA MAKONDA WETU....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…