Sioni ajabu wamiliki wa bodaboda kulipa vitambulisho,ukizingatia Kwa sasa biashara za tax ambao ni walipa kodi nyingi zimekufa kutokana na bodaboda,hawachangii pato lolote la serikali wakati wanaingiza mapato,serikali inajiendesha kwa kodi, hiyo elfu 20 kwa mwaka si gharama ndogo wala pia sio kubwa ukilinganisha na mapato wanayokusanya kila siku,tutoe elimu ila pia tukumbuke tunahitaji madawa hospitalini,miundombinu ya barabara mizuri n.k hizo pesa zote zinatokana na kodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app