Vitambulisho vya Rais Magufuli ni kiama cha machinga

Kama kila kitu hapa Tanzania hakiwezi kufanyika sijui ni nini sasa tunaweza kukifanya;

Hawataki ndege zinunuliwe, hawataki madaraja yajengwe hawataki sgr, hawataki stiglers gorge ,

Hii itakua nchi ya maajabu sasa ambapo hakuna linaloweza kufanyika.
ndo mujue chemistry ya korosho haiwezo fanya korosho iuzike maana chemistry sio uchumi
 
Hapo kuwa hakina picha sijui kitakuwa na faida gani. Ili kuwasaidia wamachinga kingeuzwa bei ya chini ka shs 1000 (buku) kikawa na expire date ili mtu akaki renyuu. Pesa ingepatikana nyingi tu kwani wengi wange vinunua. Leo nadhani wananunua ili wasije fukuzwa mjini tu wala si vinginevyo, ni sawa na kadi ya ccm. Wengi wamezinunua sasa kukwepa manyanyaso ya dola
Nina kabendera kangu ka sisiemu nimekaning'iniza kwenye goli langu la biashara yaan ata tiaraei wakija wanapitia kwooooote kwangu wanavuka[emoji2] [emoji2].
 
Elfu 20 ni hela ndogo kama mtu yuko serious
Fikiria kijana anayekuja mjana anaanza biashara kwa mtaji wa 10,000 kuuza maji kariakoo atawezaje kumudu 10,000.Hao ndio wamachinga proper?Tena anawezza zunguka siku nzima asiuze hiyo 10,000.Unaelewa lakini mkuu.Usifikiri kama wewe fikiri kwa uhalisia
 
Tanzania wafanyabishara wenye mitaji ya chini ya milioni tano ni wengi sana, na ndio walikuwa wananyanywaswa kila siku na tra...sasa hawa wote wakipata vitambulisho itabidi tra waongeze ubunifu mkubwa sana kufidia hilo pengo.
Wewe hakuna ulichoelewa na kama wana ccm wenzio nao wameelewa kwamba kinachoongelewa ni mtaji wa mil.4 umepotea. Serikali hii haiwezi kusamehe kodi mtaji wa 4m, thubutu!!!
 
Biashara gani mtaji 10,000...?
Umeona ukweli wa vitambulisho au nikuongezee ushahidi.?
tapatalk_1544549585649.jpeg
 
Siyo tu picha hivi vitambulisho havina hata jina. Vina namba tu. Jina la mtu linakuwa kwenye daftari. Mheshimiwa Rais alitakiwa kuagiza wataalamu waaandae hivi vitambulisho. Mheshimiwa bado anafikiria ki analogia sana.
Ni mzembe kufikiri
 
Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.

Nirudi kwenye hoja ya msingi

Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:

  1. Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
  2. Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
  3. Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
  4. Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
  5. Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.

P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Ni dk.bashiru
 
Aisee sio kila jambo ni la kupinga, kodi lazima kila mtu achangie, ni muhimu sana, kuna mambo tunapinga ndio ila la kodi ikiwezekana raia wote mil 55 tulipe kodi!! Haiwezekani walipakodi wawe wachache, ndio maana wanaumia!
 
Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.

Nirudi kwenye hoja ya msingi

Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:

  1. Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
  2. Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
  3. Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
  4. Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
  5. Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.

P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Mshauri mkuu wa raisi kwa sasa ni raisi.
 
Siyo tu picha hivi vitambulisho havina hata jina. Vina namba tu. Jina la mtu linakuwa kwenye daftari. Mheshimiwa Rais alitakiwa kuagiza wataalamu waaandae hivi vitambulisho. Mheshimiwa bado anafikiria ki analogia sana.
Kwa hiyo kitambulisho kimoja kinaweza tumiwa zaidi ya MTU mmoja kwa zamu
 
Nina kabendera kangu ka sisiemu nimekaning'iniza kwenye goli langu la biashara yaan ata tiaraei wakija wanapitia kwooooote kwangu wanavuka[emoji2] [emoji2].
Ulilitambuaje hilo?? Hata ukikapata kale ka kwenye gari ndani. Kaning'inize tu hapo mbele. Shikomoo nyiingi na mkono unakupepea kuwa upite tu samahani kwa kukupunguzia mwendo. Hii ndiyo Tz bhana, acha tuile nji hii tuliyoipewa na baba wa taifa
 
Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.

Nirudi kwenye hoja ya msingi

Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:

  1. Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
  2. Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
  3. Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
  4. Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
  5. Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.

P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Hakika nchi imepata chanzo kingine cha mapato embu fikiria 20,000x25,000x 26 ambayo ni mikoa yote tanzania naamini si chini ya bilioni 13
 
Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.

Nirudi kwenye hoja ya msingi

Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:

  1. Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
  2. Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
  3. Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
  4. Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
  5. Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.

P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Ni akili yake, hana mshauri, nani amshauri PhD holder
 
Back
Top Bottom