mbasha mazengo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 630
- 588
Na anayeuza pipi na karanga za kutembeza elfu 20 ni ndogo??Elfu 20 ni hela ndogo kama mtu yuko serious
Na anayeuza pipi na karanga za kutembeza elfu 20 ni ndogo??Elfu 20 ni hela ndogo kama mtu yuko serious
Nina kabendera kangu ka sisiemu nimekaning'iniza kwenye goli langu la biashara yaan ata tiaraei wakija wanapitia kwooooote kwangu wanavuka[emoji2] [emoji2].
Na wewe nasikia unatumia anu.s kufikiriInasemekana kiranja mkuu yu anatumia makali.o kufikiri
Kodi ya maendeleo ilikuwa ni chini ya sh. 5,000 kwa kichwa kwa mwaka mzima. Ilishindikana kukusanywa serikali ya CCM ikaifuta! Elimu ya shule za msingi haikufika shs.3,000 imeshindikana kulipwa, imefutwa. Sharti la kupatiwa kitambulisho hiki ni kwamba uwe na mtaji usiozidi Tshs.4,000,000 ndio ufaulu kununua hicho kitambusho, wenye mtaji huu ni wangapi? Wengi mtaji wao ni mali kauli, anachouza ndio arejeshe kwa mwenye duka na apate chakula chake cha mchana na jioni.Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Jambo muhimu ni faida gani utakazopata ukiwa nahicho kitambulisho na hasara ni zipi? Kama almashauri na tozo la eneo la soko yatafutwa hiyo itakua hasara kubwa......Kodi ya maendeleo ilikuwa ni chini ya sh. 5,000 kwa kichwa kwa mwaka mzima. Ilishindikana kukusanywa serikali ya CCM ikaifuta! Elimu ya shule za msingi haikufika shs.3,000 imeshindikana kulipwa, imefutwa. Sharti la kupatiwa kitambulisho hiki ni kwamba uwe na mtaji usiozidi Tshs.4,000,000 ndio ufaulu kununua hicho kitambusho, wenye mtaji huu ni wangapi? Wengi mtaji wao ni mali kauli, anachouza ndio arejeshe kwa mwenye duka na apate chakula chake cha mchana na jioni.
Rais amejilinganisha na Malkia wa ufarasa Marie Antoinette, aliyeshangaa kwanini watu waandamane kwa kupanda kwa bei ya mkate!!! Wazo mbadala alilokuwa nalo ni kwamba watu waachane na mkate wale keki. hakuwa na ufahamu kuwa keki ni aghali kuliko mkate! Anayeshindwa kilipa mia Tshs.500 kwa siku anapata wapi tshs 25,000 kwa mkupuo? Au hicho kitambulisho anaweza kukipata kwa mkopo alipe baadae. Hii inashanganza sana. lakini waswahikli husema "mchimba kisima, huingiza mtu we"
Kipi rahisi kulipa 20,000 tshs au 500 tshs kws siku???????????Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Popoma kama wewe hawezi akaelewaBender ya ccm inahusikaje?
Tatizo lako umeanza vibaya, usifikiri wanaolalamika humu wote ni majobless uwe na adabu, wengine wamekuzidi umri humuKwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Bora umesaidia kuwaelemisha...watu wamehemukwa tu..kuna comments nyingine ukisoma unajisikia aibu msomajiKuna tofauti kubwa sana kati ya mtaji wa milioni 4 na mzunguko wa milioni 4, mwenye mtaji wa milioni anaweza kuwa na mzunguko wa hata milioni 30 kwa mwaka, mwenye mzunguko wa milioni 4 anaweza kuwa na mtaji wa hata 5000.
Hapo sasaKipi rahisi kulipa 20,000 tshs au 500 tshs kws siku???????????
Kwani nani wanacheza mkuuNitumie mkeka wa Leo mkuu nijilipue