ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,382
- 4,664
Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?