Vitambi na game ya 6*6

Vitambi na game ya 6*6

Kuna rumors nyingi zinaenea na mengi yanasemwa kuhusu uhusiano kati ya kitambi na huwezo wa
kupiga game 6*6. Wengi wadad kwa wakaka wamekuwa wakiamini kuwa man mwenye kitambi basi kwenye game ni goigoi
a.k.a dhaifu. Nitayosema ni ujuzi binafsi wala si scientific research iliyo nipatia matokeo haya ila kwa kusema mawazo yangu naweza thibitish kuwa ni kweli kwa asilimia ngapi.
Ngoja labda nianze kusema kuwa mim ni kitambi flani hiv cha kiut uzima yani nikichomokea vizuri lazima shikamoo ikutoke
kama wew ni agemet wangu. nimewahi kufanya ubazazi wa hapa na pale na siwezi sema kama nimeacha or what sema ni kutingwa na mambo na ubize kidogo..kwenye point kidog


SIO kila mtu unamuona anakitambi ni mvivu, mzembe au mzito kuna wengine wana miili ya asili yani akipunguza mazoez
shavu lazima lishuke, so pumzi na zile purukushani wapo vizuri ukijimix huto amin nasema haya coz kuna gals niliwah mit nao lakin after game wali admit kuwa walini-underestimate
game ina hitaji mtu mwenye mashine imara na ujuzi wa kutosha sio goli moja chali haijalishi kuwa una kitambi or huna

.....kuna washikaji wapo poa tu body builders bt nshawagongea gals wao n wao husem live kuwa jamaaa hawawez game. la msingi hapa sio muonako wa nje wa mtu ni huwezo wa ndani namaanisha mashine iliyo strong, pumzi na ujuzi wa 6*6......naweza kuwa wrong pia may be hyo imetokea upande wangu...mwenye hoja aseme
................and the point is?
 
mwanaume wa kweli hajisifii hata siku moja... na mwanamke mjanja lazma akusifu kukupa mori na kukushika vizuri maskio

anyway... ndio hivyo tena siku hizi kila mtu akipata kigozi manyoya anajiona kakua, kumbe wengine hizo malaika ni za kurithi tu, si ajabu ahata bao hajui linatokaje
 
So sisi wenye vitambi kama Komba ndio hatujui eh
 
Kuna rumors nyingi zinaenea na mengi yanasemwa kuhusu uhusiano kati ya kitambi na huwezo wa
kupiga game 6*6. Wengi wadad kwa wakaka wamekuwa wakiamini kuwa man mwenye kitambi basi kwenye game ni goigoi
a.k.a dhaifu. Nitayosema ni ujuzi binafsi wala si scientific research iliyo nipatia matokeo haya ila kwa kusema mawazo yangu naweza thibitish kuwa ni kweli kwa asilimia ngapi.
Ngoja labda nianze kusema kuwa mim ni kitambi flani hiv cha kiut uzima yani nikichomokea vizuri lazima shikamoo ikutoke
kama wew ni agemet wangu. nimewahi kufanya ubazazi wa hapa na pale na siwezi sema kama nimeacha or what sema ni kutingwa na mambo na ubize kidogo..kwenye point kidog


SIO kila mtu unamuona anakitambi ni mvivu, mzembe au mzito kuna wengine wana miili ya asili yani akipunguza mazoez
shavu lazima lishuke, so pumzi na zile purukushani wapo vizuri ukijimix huto amin nasema haya coz kuna gals niliwah mit nao lakin after game wali admit kuwa walini-underestimate
game ina hitaji mtu mwenye mashine imara na ujuzi wa kutosha sio goli moja chali haijalishi kuwa una kitambi or huna

.....kuna washikaji wapo poa tu body builders bt nshawagongea gals wao n wao husem live kuwa jamaaa hawawez game. la msingi hapa sio muonako wa nje wa mtu ni huwezo wa ndani namaanisha mashine iliyo strong, pumzi na ujuzi wa 6*6......naweza kuwa wrong pia may be hyo imetokea upande wangu...mwenye hoja aseme

ama kweli watu wa nene mostly wana uwezo mdogo wa kufikiri na ww unawawakilisha!
 
Back
Top Bottom