Vitambi na game ya 6*6

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Kuna rumors nyingi zinaenea na mengi yanasemwa kuhusu uhusiano kati ya kitambi na huwezo wa
kupiga game 6*6. Wengi wadad kwa wakaka wamekuwa wakiamini kuwa man mwenye kitambi basi kwenye game ni goigoi
a.k.a dhaifu. Nitayosema ni ujuzi binafsi wala si scientific research iliyo nipatia matokeo haya ila kwa kusema mawazo yangu naweza thibitish kuwa ni kweli kwa asilimia ngapi.
Ngoja labda nianze kusema kuwa mim ni kitambi flani hiv cha kiut uzima yani nikichomokea vizuri lazima shikamoo ikutoke
kama wew ni agemet wangu. nimewahi kufanya ubazazi wa hapa na pale na siwezi sema kama nimeacha or what sema ni kutingwa na mambo na ubize kidogo..kwenye point kidog


SIO kila mtu unamuona anakitambi ni mvivu, mzembe au mzito kuna wengine wana miili ya asili yani akipunguza mazoez
shavu lazima lishuke, so pumzi na zile purukushani wapo vizuri ukijimix huto amin nasema haya coz kuna gals niliwah mit nao lakin after game wali admit kuwa walini-underestimate
game ina hitaji mtu mwenye mashine imara na ujuzi wa kutosha sio goli moja chali haijalishi kuwa una kitambi or huna

.....kuna washikaji wapo poa tu body builders bt nshawagongea gals wao n wao husem live kuwa jamaaa hawawez game. la msingi hapa sio muonako wa nje wa mtu ni huwezo wa ndani namaanisha mashine iliyo strong, pumzi na ujuzi wa 6*6......naweza kuwa wrong pia may be hyo imetokea upande wangu...mwenye hoja aseme
 
Mkuu we kabila gani?anyway haya wamekuskia!
 
Kumbe umewagongea washkaji! subir zamu yako watakapokupumulia,tena group nzima.
 
Enhee!!!???!! ushawagongea????

wakijaa nakula..hapa sijazungumzuia washikaji
ukidate na gal then unakuja jua kuwa anatoka na mtu flani.....mwenyew anasema..after mazungumzo kazaa
 
Mkuu we kabila gani?anyway haya wamekuskia!

mbona jina rinjisema mm ni wa wapi...natokea kanda maharumu..kwa hizo error kweny uhandishi utakuwa ushajua..
 

Mkuu kitambi hakina siha nzuri kwa muonekano wa Mtu haijalishi uwezo wa Mwenye kitambi.Kitambi ni Ugonjwa(I.e. malnutrition). Hata kama unaweza game inawezekana ungekuwa bora sana kama ungekuwa huna kitambi kabisa.
we mwenyewe una-admit mademu wanaku-underestimate before game. Na hii ni hatari kwani unaweza kuongoza kwa vibuti.
Vyovyote vile bado Kitambi hakina siha njema.
 
Jamaa amekuja kujisifu tuu!! tena kujisifu katika ngono!
 
Jamaa amekuja kujisifu tuu!! tena kujisifu katika ngono!

huonavyo bt sina lengo la kujisifu, kama wafanyavyo wenigne humu
bt nimekuja share ninayo yajua cz leo kuna ishi nimezisikia zinasemwa kwa wenye vitambi na mashoga wenye 6packs zao
sifa za nin wakati hatujuan humu....nimeomba hoja hapo juu kama unayo toa sio kushindan manen...
 
Sifa za kijinga.

sio mtu wa kutafuta sifa
kama ningeanza jitapa idadi ya gals niliyotoka nao ungeweza sema najisifu...nimejarib kujenga hoja mkuu, juu ya hii dhana
 
Basi yaishe ndugu. dedication pic.


 

there u are brodah..obesity sio ishu sema kufata hizo taratibu za milo kuishi mijni
pamoja na miili ya asili unajikuta ngumu kuikimbia hyo hali.. utapiga tizi unakata weight ukiwa likizo bt ukianza tena job
vitu vina rudi
 
Basi yaishe ndugu. dedication pic.



huyu jamaa hana kitambi bali ni over weight na wenye over weight wana matatz ya msukumo wa damu
so game hawez ipiga poa...ngoja wenye rangi zao za kijani wakuskie.....
 
sio mtu wa kutafuta sifa
kama ningeanza jitapa idadi ya gals niliyotoka nao ungeweza sema najisifu...nimejarib kujenga hoja mkuu, juu ya hii dhana

Hoja ya kitoto, peleka kijiweni kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…