VITAFUTA VYA FASIHI PDF VINAHITAJIKA

VITAFUTA VYA FASIHI PDF VINAHITAJIKA

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,304
Reaction score
5,011
VITABU VINAHITAJI MSAADA PLEES

Habarini natumaini mko poa PLEES
Mwenye vitabu vya FASIHI ,RIWAYA ,TAMTHILI NA USHAIRI NAOMBA ANISAIDIE HATA NIKIPATA TAHAKIKI YA KIDATO CHA 5 & 6 ITAKUWA NJEMA
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU
 
Pitia uzi huu kwa uangalifu utapata angalau kimoja au zaidi. Halafu nikuombe kitu kimoja. Hebu niorodheshee vitabu vilivyo katika mtaala wa kidato cha 5 na 6 kwa sasa:

Riwaya -

Ushairi -

Tamthiliya -

Hata vya kidato cha nne kama unavifahamu. Nitashukuru sana!


Kwa sasa mtu atakupaje tahakiki hata bila kuvifahamu vitabu vyenyewe?
 
Back
Top Bottom