Hivi vitabu naskia havipatikani tena mtaani...vilizuiliwa na mchonga
Kikomo,Kufa Na Kupona,Njama,Hofu(hiki kilitumika kufundishia A-Level) ni baadhi ya vitabu vya W-Gamba.Vingine vikali ni Kamlete Akibisha Mlipue,Mauaji Ya Lodging,Tutarudi Na Roho Zetu,Kisiwa Cha Giningi nk.

Musiba wa channel ten ndio huyu mchaluko anayegombana na wanasiasa kila kukicha, sidhani kama ndiye mwanaye.Mtunzi wa riwaya za Willy Gamba ni marehemu Elvis Musiba,Mtoto wake alikuwa mtangazi channel ten,fuatilia pale upate mawasiliano naye,hapo utapata pa kuanzia...
baadhi vimo humuVinapatikana wapi mkuu.
Ha ha ha ndiye yeye huyo mwehu hamnazo..Musiba wa channel ten ndio huyu mchaluko anayegombana na wanasiasa kila kukicha, sidhani kama ndiye mwanaye.
Hi wakuu. Ebwana nahitaji vitabu vya hadithi za willy Gamba na vingine vya dizaini ile. Nitavipata wapi?