Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB

Bios soma mkate. Kitabu cha njano Cytology ipo deep. Kingine kipo cha orange. Tulikuwa tunaviita mkate. 🤣😂🤣😂.Chemestry hasa General chemisrty na organic chemistry nilisoma notsi za Mkandawile. Physics Nilikuwa nasoma notsi za wanaotoka Dar kusoma tuition. Pia nilisoma kitabu cha Nelkon.
What are you?? A doctor or something??
 
Ukiwa unaijua projectile utakuwa unakojoa kwa malengo hasa ukiwa muoga kutoka nje usiku.

Ni kitendo tu cha ku adjust trajectory ukiwa umesimama mlangoni na mkojo kuangukia mbali huko[emoji3][emoji3]
Teh ...

Hahaha

Nmecheka sana
 
Ukiwa unaijua projectile utakuwa unakojoa kwa malengo hasa ukiwa muoga kutoka nje usiku.

Ni kitendo tu cha ku adjust trajectory ukiwa umesimama mlangoni na mkojo kuangukia mbali huko[emoji3][emoji3]
Sema yale maswal sio magm sana

Muhm kujua , kuchra free body diagrams zake ...

Na directions zake ..

Dogo asije ogopa ...

Topic nsyoipenda sana tism
 
Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB
Dogo ukitaka PCB uiweze usiende shule na vitabu, mtu anaeazima kitabu anasoma zaidi ya yule mwenye kitabu[emoji28][emoji28] writing from experience!! Wenye vitabu huwa wanapenda kuviona tu kwenye mabegi yao ila wavivu kusoma... Ukiazimwa BS hata masaa ma2 tu lazima uitumie effectively.
 
Anha sawa mkuu
 
Back
Top Bottom