Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,125
Kama dogo anataka kupata one ya tano kwenda juuBest material kwa sasa ni kama hiv mkuu
Physics
1.s chand1&2
2.heat(Ally Abdallah)
3.electrostatic(said mgote) +Ally abdallah
4.mechanics(vitin vya Ally abdallah na mgote) +chand
5.properties of matter(elasticity, surface tension, kinetic theory of gas) soma kwenye chand maan imekamilika usiguse vitin kabisa
6.current electricity(Ally Abdallah)
7.electronics and telecommunication(Ally abdallah kaandila vzr sijapata kuona)
8.modern physics(chand 2 kakamilika usiguse vitin)
9.electromagnetism cjawah kuisoma hivyo sijui
NB:fanya maswal mengi sanaaa
CHEMISTRY
(Soma vitin vya NGAIZA sanaa jamaa ameandika vzr na hata vitabu vyake NECTA ina vitambua) lkn ushaur wangu hapa kwa topic kama electrochemistry jaribu kuchanganya Na UNGA CHEMISTRY kaandika ELECTROCHEMISTRY vzr sana haswa kwenye electrolysis
NB: fanya maswali mengi sanaaa
BIOLOGY
(BIOLOGICAL SCIENCE maarufu kwa jina la BS) but hii huwa tunaitumia sana kwa maswal notes zake nying sanaaa huwez maliza kusoma yote so tafuta summary ya vitin haswaa vya JOSEPHAT then BS utaitumia kwa maswal na baadh ya sehemu ambazo wamesummarize vby kwenye vitin
BAM &GS utajua huko huk shule
Goodluck mkuu
necta wamebadlka kiutungaji !!
Huu ni mwaka wa tatu toka 2016 hakuna swali limetoka ngaiza
Imagine this year madogo wameambiwa taja importance za light and dark reactions in human life
hilo
swali halipo kwenye kitini chochote ila kwa aliyesoma vzr akaelewa hzo reaction anfaulu
Matter dgo aelewe as farest as possible asijaribu kukremu ataumia
Na kama anataka afaulu vizuri apitie vitabu vingi , na apunguze muda wa kufanya upumbavu
Mimi niliweza , nilipata A ya physics na biology , hata yeye ataweza akitumia muda wake vizuri