VITABU VIZURI VYA HISTORY VYA BAKARI MADAYA

MEA-MTWARO

Senior Member
May 15, 2013
128
40
Salaam Ndugu zangu!

VITABU vya History vya Mwl. Bakari Madaya ndivyo vinavyoweza kujibu maswali yote ya NECTA bila kuacha swali hata Moja.

Ni VITABU hivyo tu ndivyo vyenye content zote zilizopo katika syllabus that's why vinajibu maswali ya NECTA bila shida.

VITABU vya Advance viliandikwa mwaka 2016 na kuanzia hapo Hadi sasa vimekuwa vikijibu maswali yote ya NECTA vizuri tu.

Leo natuma ushahidi wa HISTORY TWO NECTA 2021 na Namna VITABU hivyo vilivyojibu maswali yote ya NECTA. Kesho nitatuma NECTA 2022 na matokeo yakitoka, nitatuma maswali ya 2023 na Namna yalivyojibiwa na BAKARI MADAYA

Swali Namba 7 hakuna mwandishi wa HISTORY text book aliyeandika isipokuwa Bakari Madaya tu na kwamba Kila mwaka huwepo maswali yanajibiwa na BAKARI MADAYA pekee.

Kwahiyo I recommend that the reading of these books is necessary for the success of all candidates

Bei ni 15,000@

Natuma sasa
 
Mimi napendelea mastering history ya mwl kato ile imekua simplified vizuri sana
 
Ila hakijibu maswali Mengi ya NECTA

Soma mfano swali la 7 Mwaka 2021, soma swali Hilo la 5 Mwaka 2021, kasome swali Hilo la 2, soma swali la 3 kama amejibu njoo hapa uandike na Mimi nitakupa 50,000 hapa hapa
 
nadhan ingependeza kama ungekua unayaandika na hayo maswali badala ya kutuambia tukasome. Nimewahi kukiona hicho Kitabu, Kwa concept niliyokua naitafuta alikua ameandika vzr sana, itabidi nikipitie kitabu chote, kama kizuri nitarecomend Kwa wanafunzi wangu wa kidato cha tano.
 
Njoo WhatsApp number 0628087968
 
Back
Top Bottom