Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Nimejifunza kitu kwako!
Hongera sana! Si kwa kasi hiyo!
Walio wengi husomea mitihani tu! Big up bro !
Hongera sana! Si kwa kasi hiyo!
Walio wengi husomea mitihani tu! Big up bro !
wewe akili yako iko miguuni hauna lolote pashkuna mkubwa.Uongo huo , unapata mda sangapi kushugulikia kero za watu wako ??
Ndio maana kero za kgm haziishi
Sure brother they say "If you don't have a road any road will take you"Good
...naamini kina Kigwa & co...hawajasoma kitabu chochote zaidi ya kusoma tweet za watu na Instagram
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani badala ya kusema kuwa wakati huu bunge halina kazi ingekuwa vizuri ukasema bunge likiwa na kazi nyepesi tu ya kuunga mkono juhudi za mzee wetuNina muda mwingi sana. Hasa kipindi hiki Bunge kidogo halina kazi. Reading is therapeutic
Jee unapata muda wa kutosha kupumzika?. Mwenzako anayelala na mafaili mpaka chumbani tunaona matokeo yake frustrations haziishi, wewe unasomea wapi vitabu vyote hivyo isije kuwa chumbani?.Nina muda mwingi sana. Hasa kipindi hiki Bunge kidogo halina kazi. Reading is therapeutic
Ha ha ha haaa nimecheka sana hiyo namba 2 watu mna utani mwingi na jiwezMheshimiwa Zitto Mimi kwa mwaka huu mzima nimesoma Vitabu vyangu hivi Saba ( 7 ) tu hadi vimenichanganya:
1. The whereabout of Afro American Hero Ben Eight
2. Why Bombardier and Dreamliner in Africa
3. The relationship between Cashew nut and Soldiers in Africa
4. Remembrance of Akwilina Akwilina in Africa
5. Why is it so difficult for an African Chemist to travel abroad and overseas?
6. The love of promoting and demoting in Africa
7. Why Infrastructure development is more important than Agriculture, Education and People's welfare in Africa?
Ukivihitaji sema nikuletee uvisome pia kwani vina Madini mengi sana tu.
Kwa kweli hata Mimi namshangaa Zito hivi anapata wapi mida wa kulala pamoja na kurara na mamaaDu!. Zitto wewe kiboko!. Mbona vitabu vingi sana, unapata muda kuvisoma vyote saa ngapi?.
Mwenzako analala na mafiles wewe si utakuwa unalala na vitabu?. Kama unalala na vitabu, jee unapata muda wa kulala na 'kulala'?.
P
Lini kulikuwa hakuna "political crisis"?Mimi kama binadamu mwenye uwezo mkubwa wa kufanya predictions ninakushauri uanze kusoma vitabu vinavyohusu civil war na political crisis. I have never ever doubted your mental intelligence, so it goes without saying that Zitto has understood me very well and he knows very well that it is inevitable by 90%.
Ha ha ha haaa nimecheka sana hiyo namba 2 watu mna utani mwingi na jiwez
Sent using Jamii Forums mobile app