Ngoja nikifika home namuongezea kingine cha executive intelligence asome mwaka huuDu!. Zitto wewe kiboko!. Mbona vitabu vingi sana, unapata muda kuvisoma vyote saa ngapi?.
Mwenzako analala na mafiles wewe si utakuwa unalala na vitabu?. Kama unalala na vitabu, jee unapata muda wa kulala na 'kulala'?.
P
Jee unapata muda wa kutosha kupumzika?. Mwenzako anayelala na mafaili mpaka chumbani tunaona matokeo yake frustrations haziishi, wewe unasomea wapi vitabu vyote hivyo isije kuwa chumbani?.
Anyway nimeipenda hii comment yako
"Kama Mtanzania ninayejiandaa kwa majukumu muhimu ya kitaifa nimekuwa nikipenda kupata maarifa Zaidi"
Tuko nyuma yako kwenye kufanikisha majukumu hayo ili mradi isiwe ni "kwa msaada was watu wa Marekani".
P
Google?
Swali zuri sana. mimi pia ni msomaji mzuri wa vitabu. kuna wakati nilikaribishwa kutembelea familia moja ya wazungu huko ughaibuni. aliyenikaribisha ni bwana. mama akaandaa chakula, ambapo tulikuwa tunaongea hili na lile wakati wa kula. mama aliniuliza maswali mengi sana, kuhusu Tanzania, kuhusu vitabu, nk. sasa kuhusu vitabu tulishirikishana vitabu alivyosoma akavipenda na mimi nikamweleza nilivyovipenda. kuna kauli moja alitoa: Haamini kama mtu anaweza kuwa mtu na asisome vitabu. na kwa kuwa yuko bize sana (alikuwa mwanafunzi wa PhD licha ya kuwa mama wa mtoto mmoja na pia ni mke) ametenga muda wa kusoma vitabu vyake ni muda ule anakwenda kulala. kuna taa ya kusomea ipo kando ya kitanda (rejea mafaili!!). Baada ya kuachana naye alinipatia novel tatu za mwandishi ambaye nilisema nilimpenda sana baada ya kusoma novel yake moja tu (Life before Man ya Margareth Atwood)Du!. Zitto wewe kiboko!. Mbona vitabu vingi sana, unapata muda kuvisoma vyote saa ngapi?.
Mwenzako analala na mafiles wewe si utakuwa unalala na vitabu?. Kama unalala na vitabu, jee unapata muda wa kulala na 'kulala'?.
P
kwa kauli yako, unachomaanisha ni kwamba:Uongo huo , unapata mda sangapi kushugulikia kero za watu wako ??
Ndio maana kero za kgm haziishi
ccm wenzako haya hawayawezi huhususan mzee wa intaprtenyuaaaHongera sana Zitto.
Inafurahisha kuona kuna viongozi mnaopenda kujifunza mambo!
Wasap ndiyo nini?
Dickens nilimsoma ktk David Copperfield. Mwaka kesho ntamalizia hiyo Great expectation.Nimefurahi umemsoma Chimamanda Ngozi. Kuna kitabu chake nadhani ni Hibiscus anapoongelea kuhusu vita ya Biafra na bar nyingi zilizoitwa Tanzania bar. Kwetu kijijini tulikuwa na Biafra Bar. Big up.
Mimi nasoma vitabu vya kizee siyo political vya Catherine Cookson na Dickens, Great expectation ndo nimekirudia mara ya tatu. I never stop reading that book.
Kwa wewe inabidi usome hivyo ulivyovitaja maana unajijenga kisiasa. Wengine sisi muda umeisha.
Ongezea:Mheshimiwa Zitto Mimi kwa mwaka huu mzima nimesoma Vitabu vyangu hivi Saba ( 7 ) tu hadi vimenichanganya:
1. The whereabout of Afro American Hero Ben Eight
2. Why Bombardier and Dreamliner in Africa
3. The relationship between Cashew nut and Soldiers in Africa
4. Remembrance of Akwilina Akwilina in Africa
5. Why is it so difficult for an African Chemist to travel abroad and overseas?
6. The love of promoting and demoting in Africa
7. Why Infrastructure development is more important than Agriculture, Education and People's welfare in Africa?
Ukivihitaji sema nikuletee uvisome pia kwani vina Madini mengi sana tu.
@Zitto na ACT huwa wanasimamia democratic socialism. Unless mwenyewe aeleze si yupo hapa na katika uzi huu naona anajibu badhi ya post.Indeed, Zitto is a very inspirational young politician. His extensive reading is evident in his ability to engage in reflective and independent thinking; something most politicians in the country lack.
But I would challenge Hon. Zittto to reveal his true ideological inclination (and economic school of thought). Though Zitto invariably supports free market economy, he is a self-proclaimed socialist.
I consider socialism a flawed political/economic theory because it advocates for social ownership of the means of production and distribution. As a rule of thumb, socialism is obsessed with wealth redistribution rather than wealth creation and therefore it lacks incentives towards creativity and innovation.
Certainly this is not the path we wish one of our high potential leaders to follow.
Though book reading is healthy, what counts most is the way the central idea and theme of the books shape the reader.
Asante, kwani nayo ina search functions?