Vitabu, machapisho na makala mbalimbali kuhusu mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitabu, machapisho na makala mbalimbali kuhusu mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masikini_Jeuri, Oct 18, 2011.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Binamz na Wapwaz!

  Niwapongeze na kuwatia moyo wote wenye mapenz mema na mliotayari kutoa msaada pale amabpo imehitajika na kubidi! Ila kuna suala moja moja limekuwa likijitokeza katika michango yetu nalo ni suala zima la la reference (samahani kiswahili cha neno hili kimenipitia pembeni).

  Kila inapofikia wakati wa kutoa reference kwenye kitabu ama chapisho flani hatuwi wazi ; yaani aidha tunashauri mtu atuone chemba kwa maelezo zaidi au la hatutoi mwongozo wa upatikanaji wa kitabu ama chapicho husika ingawa si wote, hapa namaanisha wako waliojitahidi kuonyesha wazi ama kutoa link.........niwashukuru hao na niombe twende mbele zaidi ikiwezekana tutoe taarifa ya kumsaidia mtafutaji ama yeyote yule miongoni mwetu. taarifa ionyeshe mfano; ni duka gani ama wapi chapisho ama kitabu kinapatikana na kwa bei gani ama kwa njia ipi na ikiwezekana tuweke hata gharama za utumaji..................mtanisamehe lakini ndio nionavyo msaada wetu utakuwa wa manufaa zaidi

  Nawapenda!
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tumeelewa tutazingatia
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu.
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sijaelewa plz ongeza sauti!!
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kiredio chenyewe hiki cha mkulima sauti ni preset! Isitoshe sauti ikiongezeka nitawasumbua jirani nakukuchanganya zaidi kwa mikele...........lada nipunguze kidogo!
   
Loading...