Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,413
- 36,573
Kuagiza mzigo saizi itakuwa juu sanamadhara yake mpaka wewe lazima yakufikie we kenua tu apo
Kuagiza mzigo saizi itakuwa juu sanamadhara yake mpaka wewe lazima yakufikie we kenua tu apo
Sidhani kama huyo muigizaji wa zamani anamawazo hayoHuyu Rais wa Ukraine andelee kubembeleza meza ya mazungumzo na Putin la sivyo ataibika vibaya sana!
Aombe wazungumze ailinde heshima ya nchi yake na heshima yake.
Acha ulongoTHIS IS WHY RUSSIA WANT UKRAINE:
URUSI WANATAKA KUPORA MALI ZA UKRAINE
Ukraine ranks:
1st in Europe in proven recoverable reserves of uranium ores;
2nd in Europe and 10th in the world in titanium ore reserves;
2nd in the world in explored reserves of manganese ores (2.3 billion tons, or 12% of the world’s reserves);
2nd largest iron ore reserves in the world (30 billion tons);
2nd in Europe in mercury ore reserves;
3rd in Europe (13th place in the world) in shale gas reserves (22 trillion cubic meters)
4th in the world by the total value of natural resources;
7th in the world in coal reserves (33.9 billion tons)
Ukraine is an agricultural country:
1st in Europe in arable land area;
3rd in the world by the area of black soil (25% of world’s volume);
1st in the world in exports of sunflower and sunflower oil;
2nd in the world in barley production and 4th in barley exports;
3rd largest producer and 4th largest exporter of corn in the world;
4th largest producer of potatoes in the world;
5th largest rye producer in the world;
5th in the world in bee production (75,000 tons);
8th in the world in wheat exports;
9th in the world in the production of chicken eggs;
16th in the world in cheese exports.
Ukraine can meet the food needs of 600 million people.
Ukraine is an industrialized country:
1st in Europe in ammonia production;
2nd in Europe’s and 4th largest natural gas pipeline system in the world (142.5 bln cubic meters of gas throughput capacity in the EU);
3rd largest in Europe and 8th largest in the world in installed capacity of nuclear power plants;
3rd in Europe and 11th in the world in rail network length (21,700 km);
3rd in the world (after the U.S. and France) in production of locators and locating equipment;
3rd largest iron exporter in the world
4th largest exporter of turbines for nuclear power plants in the world;
4th world’s largest manufacturer of rocket launchers;
4th in the world in clay exports
4th in the world in titanium exports
8th in the world in exports of ores and concentrates;
9th in the world in exports of defence industry products;
10th largest steel producer in the world (32.4 million tons).
Si mlisema anaiogopa NATO na mkasema kwamba hawezi kupeleka majeshi?? Sasa kaingiza majeshi yake na kwakua hamumuwezi, mmeanza kujifanya wastaarabu.USA na NATO kuweni na utu. Msimvimbishie misuli Russia mkaanzisha vita ya 3 ya dunia. Endeleeni na vikwazo na kumbinya kwa namna za kiuchumi. Dunia bado inahitaji maisha.
Kwenye hizi nchi marekani abaki kutambia uchumi tu, akijichanganya hapo kivita atabaki historia.China, Urusi na Korea Kaskazini.
Tulisema kina nani? Unadhani mm ni mrussia mwenzako au mmarekani?Si mlisema anaiogopa NATO na mkasema kwamba hawezi kupeleka majeshi?? Sasa kaingiza majeshi yake na kwakua hamumuwezi, mmeanza kujifanya wastaarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata asposhinda Bado tu atawekewa vikwazo anachofanya Sasa ni apate kitu Cha kunegotiateTulisema kina nani? Unadhani mm ni mrussia mwenzako au mmarekani?
We jiulize, Eukraine akipigwa Russia akashinda kisha akawekewa vikwazo, USA na washirika wake wanapoteza nn?
Mrusi ndio master wa cyber attack
US intelligence agencies offer Biden options for a "large-scale cyber attack" against Russia - NBC
Kunegotiate na nani? Kumbuka hapigani na ulaya, hawachukui mateka wanajeshi wa USA ila anapigana na ndugu yake, jirani yake na aliyekuwa mrussia mwenzake miaka ya huko nyuma.Hata asposhinda Bado tu atawekewa vikwazo anachofanya Sasa ni apate kitu Cha kunegotiate
Dah watu mnajibu ya NnyaaaPutin kasha sema atakayeingilia atambaka bila mafuta
AhahahahaBora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete
Utamkosoaje Chuma kama yule...???Ww unawatukana wa Russia wakati ww kwa jpm hata kumkosoa akikosea ulikuwa unaogopa
Acha kuongea pumbaHiv kwanini sisi waislamu huwa tunawaunga mkono warusi na waarabu?
sisi WAISLAMU tumewahi kusaidiwa nini na WAARABU au Warusi?
angalia vita zote marekani ndio wanatoa msaada, hivi tunajielwa kweli?>
Noma sana!Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete
Huyo jamaa kaongea ujingaSasa kwenye hii mada mbona sijaona hata mtu mmoja anaongelea mambo ya uislam mpk ww unajibu hvyo au unawashwa
Wewe ndiye mwenye matope kichwani na siyo Putin tena ukome kumkashifu Putin huna adabu weyePutin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Hizo zama sio za leo, mmarekani ataonea vinyela wengine lakini sio Russia na China.Sadam Husain alifanya propaganda hivyohivyo baadae akaishia kula kitanzi ,
Muamar Gaddafi aliongea utumbo matokeo yake akajificha kwenye mtaro wa majitaka !
Mmarekani akikuamaulia kung,oka utang,oka tu...
Mmarekani alitoa msaada wapi?? Mmarekani ndio chanzo cha machafuko duniani, wenye akili tunamuunga mkono Russia ili kuwepo na balance of power.Hiv kwanini sisi waislamu huwa tunawaunga mkono warusi na waarabu?
sisi WAISLAMU tumewahi kusaidiwa nini na WAARABU au Warusi?
angalia vita zote marekani ndio wanatoa msaada, hivi tunajielwa kweli?>
Sasa kama mchunga ng'ombe mwenye piiheechi dii ya koroshow aliwakalisha chini woote mkawa kimya kuanzia mtwara hadi kigoma itakuwaje kwa mtabe mwenye Black belt ya taikundo, mjeda wa ngazi za juu, jasusi mbobezi, phd ya sheria n.k. ? Halafu ukome kuwaita warusi ndezi huna adabu weye.Putin ni tishio kwa dunia,
Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.