OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,715
Ndugu wananchi mliojawa na woga msiokuwa tayari kuwachukulia hatua viongozi wasiojua mbele wala nyuma ya uchumi napenda kuwapa habari mbaya za soko la mbaazi na mazao ya jamii ya kunde
Baada ya soko kunawiri msimu uliopita mpaka kufikia Tsh.2500 kwa kilo, bei katika robo hii ya mwaka imeshuka kufikia Tsh.50 mpaka Tsh.200 kwa kilo.
Jiulize mkulima unaelekea wapi,na msimu wa mvua unaotegemewa kuanza hivi karibuni utasimama wapi? Ihoji serikali yako iliyojitapa kutengeneza mazingira mazuri kwa wanunuzi wa nje na ndani pamoja na kukuza uchumi kupitia viwanda.....
Ihoji serikali nguvu inayowekeza kupambana na upinzani,Mange Kimambi,kubwatukia watumishi kwa nini isitumike kuimarisha soko la mazao?

Mpumbavu ni wewe Wilaya ya Masasi Mbaazi zinauzwa Tsh 150/= na hakuna Mnunuzi watu wameacha Mbaazi Shambani bila kuzivuna hawaoni faida................Mimi silimi tena......baada ya kukusa Soko la Tangawizi Gunia mia mbili nilikosa soko................
BILA SOKO, MAJI YA UHAKIKA, MTAJI SILIMI..........HATA KAMA SINA KAZI............