Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
Ni kweli kabisa sababu fikiria walitoka Ethiopia,ina mana wanatembea kesho kutwa unaweza kusikia wako TangaHao nzige sio kazi ndogo kuwamudu selikal imekodi mpaka ndege sasa mtu kama unawazo bora ukashaur manake mwisho wa siku hasara ni Kwetu kama taifa na sio kwa watu wa siha tu
Vijana tubadilike tujitambue
Hao nzige sio kazi ndogo kuwamudu selikal imekodi mpaka ndege sasa mtu kama unawazo bora ukashaur manake mwisho wa siku hasara ni Kwetu kama taifa na sio kwa watu wa siha tu
Vijana tubadilike tujitambue
Nashauri vitu viwiliHao nzige sio kazi ndogo kuwamudu selikal imekodi mpaka ndege sasa mtu kama unawazo bora ukashaur manake mwisho wa siku hasara ni Kwetu kama taifa na sio kwa watu wa siha tu
Vijana tubadilike tujitambue
Mzee hii plani yako namba 2 ni bora zaidi japo imekaa kiutani utani.Nashauri vitu viwili
1. Nzige wana kiwango kikubwa sana cha protein kufikia 18% C.P
Hivyo viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo vitumie hiyo fursa kuwaajiri vijana wawaletee madebe na madebe ya nzige ili wazalisha wa vyakula vya mifugo wapate maligahafi mbadala wa dagaa au soya
2. Wakusanye kuku wa kienyeji takribn 500 bata 600 wawamwage hilo eneo ni ndan ya siku mbili peupe pee
Hii ilifanyika China,na walifanikiwaNashauri vitu viwili