Vita ya Ndugai ni Dodoma vs Dar es salaam

Hiyo nadharia haina mashiko mkuu
. Ishu hapa ni kuwa kwanin tuliambiwa tunajenga madarasa kwa tozo zetu. Lakin inashamgaza kuona madarasa yanajengwa kwa hisani ya mikopo ya COVID-19...? Je pesa za tozo zinaenda wapi .us
Ukishakatwa zikaenda hazina huna mamlaka nazo
 
Back
Top Bottom