Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,883
- 35,938
Chai Mzee haujafanya tafiti vizuriKwa yanayoendelea.
Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel.
Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo huwezi kumuona hata mmoja kwa bahati mbaya akawa upande wa Iran.
Ukitaka kuthibitisha hilo angalia hata wakristo wa humu/makafiri utagundua.
Hao ni Wagalatia wa Nigeria na Kenya ndio wako brainwashed hivyo. Kuna wakristo wengi tu wa US, Ulaya, Africa Kusini na Tanzania wanaopinga uvamizi wa US Iran na genocide ya Israel kwa Wapalestina.Kwa yanayoendelea.
Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel.
Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo huwezi kumuona hata mmoja kwa bahati mbaya akawa upande wa Iran.
Ukitaka kuthibitisha hilo angalia hata wakristo wa humu/makafiri utagundua.
sheri au sheli?Wakristo wa jf labda,coz hii ni vita ya KIUCHUMI,maana raia wa dini zote tunamiliki magari kwahiyo tukutane Sheri.
Ww unaogopa kuitwa kafiri 😀😀wakati maana yake ni mpingaji sasa kua mpingaji ni jambo la kawaida hata wao kwa wao ni makafiri maana sunni na shia wanapingana kwa hiyo wala usiogope kafiri mwenzanguHivi kafiri ni mtu gani?
Na kwanini umuite mtu kafiri?
Christian Nationalists has evangelicals fanatics wa US na pia Zionists wanasapoti vurugu, chuki, ubaguzi na hata vita dhidi ya watu wa dini nyingine hasa Waislamu na Wahindu.Ukristo haufundishi chuki, tena utakuja kitabuni pameandikwa wapendeni adui zenu. Kuruani inafundisha chuki, mafundisho yamejaa fujo na matumizi ya nguvu kumtetea allah. Duniani dini yenye chuki ni uislam, angalia wanavyoita wasio waislam ni makafiri
Naunga mkono hoja.Hapo jamaa nae amenable kaleta uchambuzi wa hali ya juu sana.
Jamani watoto waende shule wasome, wapate maarifa. Hatutaki kuwa na taifa la watu wajinga kama mleta mada.