Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Hivi hawa Freemanson wao wanapataje pesa? Ni swali tu ndugu zangu nataka kujua msinishambulie!!!!
Tiba
FREEMASON = Wonderful marketing tool for UDAKU newspapers.
FREEMASON = Wonderful marketing tool for UDAKU newspapers.
FREEMASON = Wonderful marketing tool for UDAKU newspapers.
Nimeipenda hii.
Ni kweli sasa hivi vyombo vya habari hususani hivi....Vimebadilisha mfumo wao wa kuandika habari kutoka kuzungumzia habari za kishirikina na kuzigeuza kuwa habari za kifreemason.
Antony Lusekelo= mkuu wa freemanson tz, alisema mwenyewe.
FREEMASON = Wonderful marketing tool for UDAKU newspapers.
wapuuzi sana wanafananisha ushirikina na freemason wachungaji njaa sana2b1ask1!!hakuna anayekufuata kukuomba ujiunge nao,njaa zako mwenyewe ndio zitakupeleka,hawa wachungaji wanatafuta publicity,kwa kutumia jambo ambalo wanatambua wazi kuwa wengi wa waumini wao hawana uelewa wa kutosha juu yake,uelewa ambao pia yaweza kuwa vigumu kwetu sote kuupata,hata huyo mchungaji mwenyewe.
FREEMASON = Wonderful marketing tool for UDAKU newspapers.