Vita vya Ukraine: Bei ya petrol na diesel UK yapaa hadi Tsh 5000 kwa lita


Kwanza huko maisha yao ni magumu zaidi kula kwenye majalala ni kawaida wana dhiki ile mbaya
Halafu kila mmoja mbabe na bunduki

Na Mike Tyson hujaiona alivyotolewa pistol na jamaa kwenye Comedy show alipomwambia Tyson wazichape?
Yaani huko hata kutembelea siendi ingawa nina ndugu kibao
ngoja niicheki na hio ya Mike Tyson sijaiona aisee
 
Hakuamini alipoona hela aliyodaiwa na pump number 9 pump imekwapua mahela!
Eeeh na bado, atanunua baiskeli! Utasikia save the environment, kumbe bei ya mafuta haishikiki!
Kama jamaa anlia hivyo sijui wapiga box wabongo walioko huko Wana Hali gani aisee.Majamaa yanaweza yakawaoa hivi hivi Kama utani
 
Back
Top Bottom