Vita vya Ukraine: Bei ya petrol na diesel UK yapaa hadi Tsh 5000 kwa lita

Hii vita imeathiri kila kona ya dunia ila watumiaji wakubwa wa mafuta ndio tunaathirika zaidi

Kila kukicha bei za bidhaa zinapanda
Ila uzuri ajira bado nyingi ukitataka unapiga mpaka weekend
Dah! Poleni Sana,
Hii Ishu Ni hatari.

Na MDA SI mrefu naskia Putin kasema kuanzia Sasa atakae taka mafuta,gesi au makaa ya mawe kutoka russia

Atalazimika kulipa kwa rubble,
Atakaelipa kwa US dollar atapaswa kufuata exchange rate ya benki kuu Russia ambayo usdollar iko Chini ya rubee 100 kwa sasa.

Una shida unanunua, hutaki unaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaishawafika kaka olaf kaishayasema haya leo
Kwanza Huu msoto wanaopitia ulaya na Dunia nzima kwny ENERGY.

Wamemsaidia sana Putin mwnyw kujua anathamani Kias gani duniani kwny suala zima la nishati duniani.

Apa tayar keshapanda mabega,
Katika kuweka masharti mapya sahv kua anaetaka mafuta yake atapaswa kulipa kwa RUSSIAN RUBY na sio usd kama mwanZo.

Watu wanahaha uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Poleni Sana,
Hii Ishu Ni hatari.

Na MDA SI mrefu naskia Putin kasema kuanzia Sasa atakae taka mafuta,gesi au makaa ya mawe kutoka russia

Atalazimika kulipa kwa rubble,
Atakaelipa kwa US dollar atapaswa kufuata exchange rate ya benki kuu Russia ambayo usdollar iko Chini ya rubee 100 kwa sasa.

Una shida unanunua, hutaki unaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Safi sana
Hapo kapigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza

Walimwaga mboga sio

Huku wizi nao utazidi
 
Hakika...
Mrusi atakuwa alijiandaa, Kwa Vita taratibu,

Bado bei ya ngano kupanda na mikate, cake na biscuit walivyozoea Kula kupanda maradufu!
Africa tunakula mihogo na magimbi na maviazi!

Ipande mara ngapi mkuu?

Waarabu kama wayemen na Morocco huko joto wanalisikia kwani ngano ni chakula chao kikuu kama sisi Mahindi
 
Kwanza Huu msoto wanaopitia ulaya na Dunia nzima kwny ENERGY.

Wamemsaidia sana Putin mwnyw kujua anathamani Kias gani duniani kwny suala zima la nishati duniani.

Apa tayar keshapanda mabega,
Katika kuweka masharti mapya sahv kua anaetaka mafuta yake atapaswa kulipa kwa RUSSIAN RUBY na sio usd kama mwanZo.

Watu wanahaha uko

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua thamani yao toka mda mrefu, watu wasihisi mtu kama Putin asingewaza ambacho kingetokea baada ya vita
 
Wazungu wanalalamika hata kwa vitu vidogo Sana. Unashangaa Uingereza Mafuta kuuzwa Tsh 5,000 huku nchi Masikini ya Tanzania yakiuzwa Nusu yake Tsh 2,700?

GDP per Capita ya UK ni zaidi ya Tsh 120,000,000/= ( $ 54,000) kwa Mwaka.

GDP per Capita ya Tz ni Tsh 2,400,000/= ( $ 1,086) kwa Mwaka

Sasa Kati ya Uingereza nchi Tajiri ambayo kipato Cha mtu ni mara 51 ya kipato Cha Mtu wa Tanzania,ni Nani anayeumia Mafuta yakiuzwa Tsh 5,000 kwa Uingereza na Tsh 2,700 kwa Tanzania?

MFANO MDOGO

Ukiambiwa chagua Kati ya vitu vifuatavyo:

A) Upewe $ 54,000 kila mwaka lakini uwe unanunua Mafuta kwa $ 2.6 kwa Lita au;

B) Upewe $ 1,089 kila mwaka lakini uwe unanunua Mafuta kwa $ 1.1 kwa Lita.

Tupe Majibu.
Tatizo la watu huwa wanalinganisha bei ya vitu hasa kwa ulaya, na kulibeba hivyo kwa kulinganisha ni TZ!!wakati ukiliweka kwenye suala la kiuchumi wewe unayelipa 2700, una maumivu sana kuliko anayenunua kitu hicho kwa bei ya 8000!!
Ndio maana wao wakija huku wanaona kama sisi tunanunua vitu sawa na bure kumbe jasho linalotutoka kukipata hicho kitu ni balaa!!!hiyo ina nikumbusha kuna mwaka mmoja nilikwenda kijijini, nikakuta jogoo linauzwa 5000!!nikasema jamani huku si kila siku utakuwa unakula kuku!!waliniangalia wakasema baba hiyo 5000, kuitafutia huku kijijini, sio mchezo.
 
Dah! Poleni Sana,
Hii Ishu Ni hatari.

Na MDA SI mrefu naskia Putin kasema kuanzia Sasa atakae taka mafuta,gesi au makaa ya mawe kutoka russia

Atalazimika kulipa kwa rubble,
Atakaelipa kwa US dollar atapaswa kufuata exchange rate ya benki kuu Russia ambayo usdollar iko Chini ya rubee 100 kwa sasa.

Una shida unanunua, hutaki unaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida unanunua, hutaki unaacha.

Simple and Clear
 
Kwanza Huu msoto wanaopitia ulaya na Dunia nzima kwny ENERGY.

Wamemsaidia sana Putin mwnyw kujua anathamani Kias gani duniani kwny suala zima la nishati duniani.

Apa tayar keshapanda mabega,
Katika kuweka masharti mapya sahv kua anaetaka mafuta yake atapaswa kulipa kwa RUSSIAN RUBY na sio usd kama mwanZo.

Watu wanahaha uko

Sent using Jamii Forums mobile app
PUT IN mwamba kwel kwel
 
Back
Top Bottom