Vita vya Shetani Dhidi ya Mwanzo Mpya

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,165
Reaction score
25,833
Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika...

Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo?

Jana nilikuwa nampango madhubuti wa kuanza kitu fulani, it was a life changing investment. Only to wake up na ku find out, yule jamaa uliyekuwa na mpango nae ka loose ties? Yaani ilikuwa tuka sign deal, ila jamaa kaamua kukacha.

Why on earth, shetani anaingilia kati mipango? Kwanini unapo amua kuanza ukurasa mpya, hapo ndo shetani hutumia nguvu kubwa urudi uliko toka?

I pray over this demonic entity to stay out my way in Jesus mighty name 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…