Vita sasa ni Mbowe na Slaa

Vita sasa ni Mbowe na Slaa

Unalipwa kutwa shilingi ngapi kwa kuandika upuuzi huu!
 
hizi nafasi za kazi buku 7 FC zilitoka lini? au wamepeana shavu kindugu kama kawaida yao!! naona kama team imeongezeka vile!!
 
strategy ya lumumba buku saba nimeipenda....wanatumiana pm...halafu mmoja anaanzisha uzi....
 
yuko wapi sasa huyo nyerere wako??

alitukomesha sisi au alijikomesha yeye mwenyewe??

yule mchongameno nuksi saana

yeye alidhan dunian hapa angeish milele??

haya yuko wapi sasa??

kila mtu hapa dunian atakufa tuh utake usitake

TENA YEYE NYERERE NI KAFIRI HUKO ALIKO JEHANNAM INAMUUNGUZA VIZUR SANAA

NA IZID TUH KUMUUNGUZA.

NA WEWE UKIFA TUH INAKUSUBIR KAFIR MKUBWA WE..!!

Ushujaa wake ni kuwashughulikia WAISLAM. No kadhi, kawaachia libakwata. Kama ni kufa hata Mwamedi kafa. Tena yeye anaunguzwa na mifupa ya nguruwe. Mwamedi ni kafiri kuliko hata Nyerere
 
Muda si mrefu huyu naye watamtoa knock out, chama ni chetu mangi, tena kimeshakua namna hii, lasima tuingie ikulu sisi tu arawa.

Aisee babaangueee, Hiyo ni kweli kabsaaa! wachaga Nyerere alitubana sana ati! huyo mmang'ati atulie tutampa kauwaziri aisee! wachaga oyeeee!
 
Slaa siku hizi nafasi yake ndogo sana ndani ya chadema wenye chama wanataka chama chao sasa mhurumieni mzee wa watu ataishi vipi jamani.

Basi jamani wawe na huruma kdg, kibabu ana dem na kadigidigi kamoja, style yake ya kupata kipata ni through siasa, sasa mkimuengua makamo hayo atapata wapi hela ya kula ? Na makamo hayo jembe tena haliwezi!
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga

Bado unaishi kwa kumpigia debe Mbowe tu!? dah! una roho ngumu sana.
 
View attachment 235291

Sasa mambo ni hadharani. ILE vita ya Urais wa 2015 iliyokuwa ikipiganwa kati ya Viongozi Wakuu wa Vyama vya siasa nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, maarufu kwa jina la UKAWA, sasa imehamia kwa MAFAHALI wakuu wawili ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mwenyekiti wa chama hicho , FREEMAN MBOWE anataka kugombea Urais wa 2015 kwa tiketi ya chama chake kwa udi na uvumba.

Uamuzi wa MBOWE na Wapambe wake kutaka kumuweka kando Dr. SLAA umejengwa katika misingi mitatu:

1. Ujana wa MBOWE ukilinganisha na Dr. SLAA
2. DHEHEBU lake la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT
3. Uzee na hali ya afya ya Dr. SLAA ambayo inaelezwa kudorora siku hadi siku kadri siku za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015 zinavyokaribia.

Tayari vyama viwili kati ya vinne vinavyounda UKAWA , CUF na NCCR-MAGEUZI vimekwisha kumtangaza mgombea wake wa Urais ambapo CUF wamemtangaza Prof. IBRAHIMU HARUNA LIPUMBA na NCCR-MAGEUZI wamemtangaza Dr. GEORGE KAHANGWA ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Hadi sasa CHADEMA na NLD bado hawajawatangaza wagombea wao tayari kuingia kwenye KAPU la UKAWA na wale wa CUF na NCCR ili kumpata mgombea mmoja atakayeshindana na mgombea wa CCM.

Taarifa zaidi zinasema shinikizo la kumtaka Mbowe agombee kupitia MBOWE linatoka katika makundi makuu mawili ambayo ni

1. Waumini wa KKKT
2.Wafanyabiashara wanaotoka Ukanda wa Kaskazini wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa kawaida jamii ya Mkoa wa Kilimanjaro imekuwa ikiishi katika matabaka mawili yenye misimamo isiyoingiliana kuanzia kwenye mila , desturi na tamaduni zao.

Kwa mjibu wa Mbunge mmoja wa Chadema, matabaka hayo ni ya wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wanaoishi Ukanda wa kaskazini kwa upande mmoja ambao unatamabulika zaidi kwa jina la CHAGALAND, na wananchi wanaoishi ukanda wa chini au wa kusini , ambao ni jamii ya WAPARE.

IMEELEZWA kwamba wafuasi wengi wa Chadema katika Ukanda huo wa kaskazini , ambao wengi wao ni waumini wenza wa MBOWE katika dhehebu la KKKT , wangependa kuona safari hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokana na Kanisa hilo.

Kundi la pili la Wafanyabiashara walioko nyuma ya Urais wa Mbowe , ambao wana asili ya Ukanda wa Kasakzini mwa Mkoa wa Kilimanjaro inasemekana wamekuwa ni chachu ya Nguvu ya ksiasa iliyonayo CHADEMA kwa sasa kutokana na michango ya ufadhili wa hali na mali kitoka katika jamii hiyo.

Hivyo wafanyabiashara hao wa kutokea ukanda wa Kaskazini mwa Mkoa wa Kiliamnjaro wangependa kuona Juhudi zao za kukifhadhili chama zinazaa matunda kwa kumuwezesha Mh. MBOWE kuwa mgombea urais hasa ukizingatia kuwa ni mtu kutokakatika UKANDA ambao wanatokea.

Chanzo: TAZAMA Tanzania.

Tunatunza records,ili haya mambo unayoyasema uje uyatetee pindi UKAWA watakapochukua nchi maana yanaonyesha dhahiri kwamba ni ya kutungwa na hayavumiliki.Watu kama ninyi hamjui kama kuna mbingu mpya baada ya kifo ambapo kila mtu atahukumiwa kulingana na matendo yake.
 
I don't discuss dead issues! Niulize CHADEMA vs CCM, na sio Chadema vs Nyerere.

wala hata sio Chadema Vs CCM bali ni Chadema vs CUF au ATC, au NCCR, maana CCM ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom