Vita sasa ni Mbowe na Slaa

Vita sasa ni Mbowe na Slaa

mbowe akichukua nchi ikulu na wizara zote za serikali zitaamia moshi
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga

mdau kamaliza kabisa
 
Nalo litakuwa upepo tu. Litatulia :tongue:

avatar47517_3.gif
what?
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga
Khaa!! Mida8 hapa umekosea. Hayo ndiyo yanayojadiliwa na watanzania wengi kuliko unavyofikiri. Si wengi wanaopoteza muda wao kufikiri hali ya uchumi kama inapanda au inashuka, kuangalia upepo wa vyama na wanasiasa unavyovuma. Na hao ndiyo wapiga kura walio wengi. Pitia uswazi uone yanavyogombewa haya magazeti kuliko hata Tanzania Daima :A S-baby:
 
Na mbowe awashukuru usalama wa taifa kwenye msiba wa chacha wangwe la sivyo angekuwa marehemu sasa hivi.......
Naamini cku moja watanzania watajua ukweli kuhusu chadema watafute nyaraka nyingi za chacha wangwe na wengineo
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga

Asante kwa wewe Uliyelisoma Kutujuza yaliyomo ambayo Kimsingi yanasadifu weledi wa Gazeti. Hivi Ili gazeti Lilianza Lini kwa maana hata sijawahi Kuliona Sokoni, Na kama lipo Sokoni bali Wauza Vitumbua Ndio Wanalifaidi zaidi Kama Vifungushio kwa Wateja wao . Hili gazeti ni zaidi ya TAKATAKA.
 
so sumu inawezekana aliweka mbowe ili ammalize kabisa kwa jina la usalama wa Taifa?ha ha leo kuna theory nyingi sana aisee nimeona ZZK ameandika kitabu cha ACT OF TREASON ambayo nikivutia hisia kwa mbali kuna jambo linakuja au lilishwa tengenezwa
Tafadhari huu ni utashi wangu jaman kutokana na uchambuzi wa medulla yangu oblangata
 
TAZAMA ni gazeti la ccm ni kulipuuza ukipewa lichome moto
 
Ndio maana Nyerere aliwachinjilia mbali wavaa vipedo kwa kuifutilia mbali mahakama ya KADHIA

yuko wapi sasa huyo nyerere wako??

alitukomesha sisi au alijikomesha yeye mwenyewe??

yule mchongameno nuksi saana

yeye alidhan dunian hapa angeish milele??

haya yuko wapi sasa??

kila mtu hapa dunian atakufa tuh utake usitake

TENA YEYE NYERERE NI KAFIRI HUKO ALIKO JEHANNAM INAMUUNGUZA VIZUR SANAA

NA IZID TUH KUMUUNGUZA.

NA WEWE UKIFA TUH INAKUSUBIR KAFIR MKUBWA WE..!!
 
Back
Top Bottom